Hili linawezekanaje,ok, kama linawezekana ni pale tu ambapo providers wa support services hawafahamiki, hebu tuunde mamlaka ya kuwasimamia- tegulatory body
Kila siku serikali inajitahidi kuwaudhi wananchi kwanamna nyingi. Uzuri watanzania sio reactuve ingekua balaa.
Tuendeleze uvumilivu tu ila ipo siku vumbi litatimka.
Yoyote anayeingiza kipato ni lazima alipe kodi....Wafanyakazi tumewabeba sana wafanyabiashara na mwisho wa siku mkatuona mburulas.
Tulipe kodi ili tujue uchungu wa matumizi ya kodi.