Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Hali itakavyokuwa.Imebaki Hewa tu sasa ambayo nayo wangetaka tulipie kodi tusipumue tu hivhiv!
....
"Wapumuaji wasiosajiliwa kuchukuliwa hatua"
........
Ewe mwananchi kumbuka kulipa kodi ya upumuaji kwa wakati ili kuepusha usumbufu na adhabu. Lipa kodi ili ujenge nchi.
........
"Oparesheni ya pua kwa pua kuanza ili kuwasaka wakwepa kodi ya upumuaji"