Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Kweli Kabisa kuku sahivi sio,Njoo tuuze Mkaa ,Kuku Biashara Kichaa now.
Nipe channels za maporini basi jombaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Kabisa kuku sahivi sio,Njoo tuuze Mkaa ,Kuku Biashara Kichaa now.
Kweli Kabisa kuku sahivi sio,
Nipe channels za maporini basi jombaa
Ni hela tu inatafutwa hapo. Haluna kingineHii ni habari iliyoripotiwa katika gazeti moja na ambayo pia inasambaa mitandaoni.
Kwa kifupi, wanatakiwa kusajiliwa kwa mujibu wa sheria na sio kufuga hivi hivi. Taarifa hii imetolewa na Dr. John Kaijage ambae ni Mtafiti Mkuu na Mratibu wa ufugaji wa kuku katika Wizara ya Kilimo na Mifugo.
Habari ndio hio.
Dah ishakula kwanguKama upo Dar pori la karibu ni kisarawe au Bagamoyo huko ndio source ya mkaa wa DAR.
Madhara ya kuongozwa na kichaa ndio haya Mkuu.Hii ni habari iliyoripotiwa katika gazeti moja na ambayo pia inasambaa mitandaoni.
Kwa kifupi, wanatakiwa kusajiliwa kwa mujibu wa sheria na sio kufuga hivi hivi. Taarifa hii imetolewa na Dr. John Kaijage ambae ni Mtafiti Mkuu na Mratibu wa ufugaji wa kuku katika Wizara ya Kilimo na Mifugo.
Habari ndio hio.
Wee!! Kwa utawala huu ujue wataufanyia kazi ushauri wako😀Na unyumba pia tutozwe...500# bao moja kwa wanandoa
One world order, lazima tuwe kwenye mfumo! kuna siku itafika huwezi kuuza wala kununua endapo huna namba ya utambulisho. wafanyakazi hivi sasa lazima wawe na TIN number, ili kupata mshahara. sasa wewe unayefuga kware utatambulikananje kama hujajisajili?😎🤣Kila mtu atafikiwa ni suala la muda tu.
Kwa sababu msipojisajiri. Kuna watu wabaya wanaweza kutokea ndani au nje ya jamii wakatuuzia kuku ambao sio salama kwa afya. Tuko kwenye vita ya kiuchumi ambayo huwezi jua adui anakuja kwa style gani. Kwa hiyo we tulia kama ulivo serikali ulikulinde.Aisee Tunakoenda siko. Ebu fikiria Nmemaliza kozi ya IT sina kazi, nkaona bora nijiajiri nitengeneze kablog kangu au website yangu baada ya kulipia domain name naambiwa inabidi nilipie usajili wa wesite millioni moja kwa serikali. Okaay nkaona hio milioni sina nkaamua niachane kwanza na mambo ya website na blog yangu nkaanza kufuga kuku, Punde si punde naambiwa na ufugaji wa kuku inabidi nijisajili na nilipe kodi. Nkaona niachane na hio tena, Nkafikiria kile kisima nlichoachiwa na bibi mzaa mama, Nkasema yeees acha nianze kuuza maji mtaani kwenye kile kisima, napo nkaja kuambiwa inabidi nilipe kodi. Aiseee Kwa namna hii sie tuliopo kwenye 'Jobless Corner' Tutatokaje kimaisha. sasa kila startup itakua inafeli kutokana na hizi kodi zisizoeleweka. Whyyy!!!!!!!
😀😀😀Na mnaomiliki vitambi mjiandae kulipia, haiwezekani tumbo lining'inie kuliko wenzako.
Utalipia kila sentimita iliyozidi usawa wa mbavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana.Tunaanza na wanaosafirisha kuku kwenye bodaboda na vipikapu watuonyeshe vibali vyao kwa kuwa ilishatangazwa wasafirisha vitoweo wapate leseni. Kisha tunauliza watuonyeshe manda yao ya kufugia na Vibali vyao. Kama hawana tuntaifisha kuku. Hatuachi mpaka kuku wapotee mjini na wapande bei. Tuige kufuata sheria bila shuruti kama wapinzani walivyofanya wakati wa uchaguzi. Tano tena.Why only wa nyama na mayai? Kwa kuwa wengi ni wa maeneo ya mijini? Vipi na ng'ombe na mbuzi wa maziwa? Siku hizi hata sungura na kware wanafugwa pia! Vipi na hawa? Au kwa kuwa contribution yao ni insignificant? Duh! Tutaanza kufuatiliwa hadi majumbani wajameni. Makuku yenyewe yanavyotesa na kufa ovyo!
Kwakuwa TAMKO limetolewa na mtendaji wa Wizara, basi ni Wizarani😀😀😀😀😀😀Wanasajili wapi??