Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

duuh inauma san, mimi nikiona mtu anapiga mbwa naumia sana sembuse kuua!
 
Mkuu hii sio ile hadithi ya Fineasi tuliyosomaga tukiwa darasa la pili sijui la tatu? [emoji23]
 
Nimekusoma lakini napata shida kuamini GS kutojua owner wake. Wapo sharp na vigilante sana hawa mbwa. Kwa mfano mtu akilala home kwangu hata iwe usiku mmoja jamaa lazima wajue tu sasa sembuse owner wao? Unless owner ni bwege kinoma.
Jamaa ni mtu wa mtungi sana na huwa anakesha baa nimesema hapo juu. Mara nyingi shamba boy ndie anahudumia.

Na kweli kukazia point yako ndio maana hata dogo wa jirani aliweza kuwazuia kwakuwa walishamzoea japo hakuwa owner wala hakuwa akiishi nyumba hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…