Leo tumwangali huyu Belgian shephard aina ya Malinois, tamka kwa kiswahili "Malinwaa"
Huyu ni Mbwa Kibelgiji aliyefugwa enzi na enzi, Wabelgili waliwafundisha kuchunga kondoo kiasi kwamba waliweza kwenda machungani na kondoo na kuhakikisha wanawarudisha nyumbani salama baada ya saa za malisho.
SIFA
a) nibwa mwenye nguvu sana
b) anahimili mazingira magumu
c) Ana akili na anafundishika kirahisi
d) Ni mbwa alijaa utayari hasa aliyefundishwa.
Kwa hapa Tanzania wanapatikana kwa uchache sana na bei yako iko juu kiasi flani.
Mbwa mdogo wa miezi 2 bei inaanzia 900k chaliifrancisco