Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Tulitangaza, na tunaendelea kuhamasisha juu ya ufugaji bora wa Mbwa.
IMG-20191121-WA0033.jpeg
IMG-20191121-WA0030.jpeg
 
Naomba nitoe angalizo moja tunamajanga makubwa ya matapele wanaojifanya wanauza Mbwa hasa GSD nawaomba muwe waangalifu sana kwahilo, hasa Arusha,Moshi,Dar, ukikubaliana nao ukatuma pesa huoni Mbwa wala copy. Please tutafute tutakuonyesha njia iliyo sahihikupata Mbwa sahihi kwa mahitaji yako.
 
Mkuu, hakuna eneo lenye matapeli ksma madalali wa mbwa.
Wansuza breed fake au hata wagonjwa.
Sio tu mikoa uliyoitaja hata Nairobi ndiko yalikozaliwa matapeli zaidi.

Mwakani nitahitaji gsd kiume na jike. Nitawatafuta
 
Mkuu, hakuna eneo lenye matapeli ksma madalali wa mbwa.
Wansuza breed fake au hata wagonjwa.
Sio tu mikoa uliyoitaja hata Nairobi ndiko yalikozaliwa matapeli zaidi.
Kwakweli wanaumiza sana watu,halafu wanaluga tamu sana.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napenda kufuga Pitbull ila nasikia ni hatari sana unaweza ukapata kesi ya mauaji ngoja niendelee kufuga hawa wala "NYA".
Pitbull kila anavyozidi kukua ndio ana develop uchizi, usishangae siku unarudi unakuta amekula familia yote.... japo wengine wanamtetea ila ukweli ndio huo, ana uchizi ndani yake.
 
Mi nafunga mbwa wa kiswahili na wako vzr Sana,kiulinzi ata adabu pia.nawapa huduma zote stahiki ikiwa chakula,chanjo zote,na kuoga kira jpili.kiukweli ulinzi tosha..
Mbwa wa kiswahili ndio wakoje?
Picha plz kama hutojali
 
Pitbull kila anavyozidi kukua ndio ana develop uchizi, usishangae siku unarudi unakuta amekula familia yote.... japo wengine wanamtetea ila ukweli ndio huo, ana uchizi ndani yake.
Nitapingana na ww daima hakuna Mbwa mkorofi ila inategemeana na ww mfugaji unavyo muandaa kwajili ya matumizi gani.
 
Kabla hujapingana na mimi daima ungejaribu kufanya utafiti.
Kaka Mbwa yeyote ni mkali, Mbwa yeyote anatabia zake shida ni kukariri hadisi za walio fuga bila ya kufwatilia tabia za Mbwa, Mbawa yoyote usipo mfwatilia na kumwongoza kwa jinsi ya malengo yako ya ufugaji utamwona kichaa,Kuna Gsd alikuwa anaitwa raff alikuwa huwezi kumlisha kumwogesha kumtibu mpaka afungwe kama anachinjwa sasa na huyo tutasemaje?ilishindikana kumtunza mpaka ilibidi apumzishwe, na walimfundisha wennyewe kwamaba wanataka mbwa awe mkali,
 
nimefiwa na mbwa wangu toka utotoni nimekaa nae miaka 12, naomba kwa mwenye mbwa anauza hasa GS ani dm ila pls msinipe bei zenu za watalii
 
Back
Top Bottom