Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Hata mauti yake mim naamin watu walimlilia sana Mungu akawafanyia wepesiHuo uogo umetengenezwa moja ya strategy ni kufunga watu wanyee debe miaka nenda rudi bila losa lolote, extrem ilifika wakaanza kuteka, kuua na kutesa.
Mungu wa Mbinguni ahimidiwe milele amina.CHADEMA kanda ya Victoria na taifa inaomba wana CHADEMA na waTanzania kwa ujumla kuwaangalia hawa makamanda ili waweze kupata huduma za kiafya baada ya kutoka gerezani na sasa wapo huru.
Sometimes labda rogue elements zilimzidi nguvu.Yaan kila jumapili utamuona makamera yanamuonyesha akiwa kanisani lakin hakua na hofu ya Mungu hata chembe
Mengi sana yamebadilika.
CCM ipo kwenye hali ya umahututi.
CCM yenyewe imepitia katika hali ngumu sana, na bado haijui itatoka vipi.
Kosa litakalofanyika ni kuiruhusu tena ijiimarishe.
Huo uogo umetengenezwa moja ya strategy ni kufunga watu wanyee debe miaka nenda rudi bila losa lolote, extrem ilifika wakaanza kuteka, kuua na kutesa.
Yaan kila jumapili utamuona makamera yanamuonyesha akiwa kanisani lakin hakua na hofu ya Mungu hata chembe
Ingekuwa dhana hiyo pekee ndiyo inayofanya kazi dunia hii ingekuwa ni tofauti sana na ilivyo leo!Mkuu kushindana na mtu aliyeshikilia bunduki huku ameshaikoki wakati wewe una mikono mitupu ni sawa na kumvimbia Simba dume mwenye hasira kali
LOoo!Ni kweli kuna mabadiliko kadhaa, lakini sio ya kimfumo, bali aliyebadilika ni mwenyekiti wake, na kwakuwa utashi wa mwenyekiti ndio hufuatwa na CCM mzima, unaweza kusema ni mabadiliko.
watanzania ni watu wanaoamini sana mambo ya dini, hivyo dini ilitumika pia kupumbazia watu.
Lakini ndio namba one inaongoza. Hata kwa putin anatumia hiyo.Ingekuwa dhana hiyo pekee ndiyo inayofanya kazi dunia hii ingekuwa ni tofauti sana na ilivyo leo!
No one can tellMpaka leo najiuliza magufuli alikuwa mtu wa aina gani? Naomba mnisaidie who was this person really?
He was a sadist.Mpaka leo najiuliza magufuli alikuwa mtu wa aina gani? Naomba mnisaidie who was this person really?
LOoo!
Mkuu 'Tindo', naona hatuelewani kabisa. Mimi sioni "mabadiliko" ya uwepo wa Samia badala ya Magufuli. Hayo siyo mabadiliko ninayolenga mimi.
CCM nzima ni "hollow" ilivyo sasa hivi. Haijalishi kundi lipi lililoshika madaraka.
EeenHeeee!Lakini ndio namba one inaongoza. Hata kwa putin anatumia hiyo.
Mkuu 'Tindo', naona una maswali mengi ya udadisi tu huku ukweli ukiujua mwenyewe.Unatumia kipimo gani kujua kuwa ni hollow, wakati imeendelea kushikamana na vyombo vya dola?
Kalamu bwanaMkuu 'Tindo', naona una maswali mengi ya udadisi tu huku ukweli ukiujua mwenyewe.
Huko "...kushikamana na vyombo vya dola" kusikutishe hata kidogo.
Leo hii CCM ikifurumishwa utaona vyombo hivyo hivyo ndio vitakuwa mbele kuinanga CCM.
CHADEMA ingeendeleza ilipokuwa imefikia na Magufuli (sina maana ya siasa za uanaharakati); ungeona jinsi nchi hii ilivyobadilika. CHADEMA wanakosea sasa hivi kuwapa CCM nafasi ya kujipanga upya. Kinana akiwa kinara wa kazi hiyo.
Mbona Zanzibar walipata katiba Yao Mkuu kwa maridhiano, nadhani watu wa Pwani Wana busara sana tatizo huwa wahafidhina ambao huogopa maslahi Yao kutapanywa.Katiba ya kukaa mezani na CCM bila kutokea machafuko, usitegemee kuheshimiwa.
Katiba bora hupatikana baada ya machafuko, au nchi kupinduliwa.
Hilo ni angalizo nakupa ndugu yangu.
Iliendeleza ila Mbowe mkatishia kumfunga kwa kesi ya ugaidi, Mimi nadhani Rais akiwa diplomat hakuna haja ya kutunishiana misuli ila kwa type ya JPM kweli Mtu wa siasa za Lissu was a better fit yaani jino kwa jino.Mkuu 'Tindo', naona una maswali mengi ya udadisi tu huku ukweli ukiujua mwenyewe.
Huko "...kushikamana na vyombo vya dola" kusikutishe hata kidogo.
Leo hii CCM ikifurumishwa utaona vyombo hivyo hivyo ndio vitakuwa mbele kuinanga CCM.
CHADEMA ingeendeleza ilipokuwa imefikia na Magufuli (sina maana ya siasa za uanaharakati); ungeona jinsi nchi hii ilivyobadilika. CHADEMA wanakosea sasa hivi kuwapa CCM nafasi ya kujipanga upya. Kinana akiwa kinara wa kazi hiyo.