Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

Rafiki yangu moja alifanyikiwa kuingiza chupa ya Vodka ndani ya jela ya wanawake kwa kuhonga walinzi. Mwanzoni alitengeneza pesa sana. Duh! Baadae ile chupa ikaangaza kutumiwa mle ndani kupunguza genye mle ndani. Habari zikatapakaa. Wakaanza kupigana. Kila mtu anaitaka ile chapa.

Yaani wale wakina mama walikuwa wamechoka kijipa Ma- JKT mafinga. Baada ya kupata habari kwamba chupa imeingizwa kwa siri, na kuna watu wanapata raha, ugomvi ukapanda moto. Vurugu zilipungua baada ya chupa kupatikana na kutaifishwa na bwana jela.
 
Back
Top Bottom