Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

Vyakula vyote magereza yote, vinachanganywa na mafuta ya taa!..... Unaelewa kazi ya mafuta ya taa kwenye mwili!? Ama lengo la magereza yote duniani kuchanganya kerosene kwenye chakula!?
=Kupunguza hamu ya tendo!!

Think!
Tukiwa Kifungilo Girls masista walikuwa wantuchanganyia mafuta taa kwenye maharagwe, hamu inakata kabisa.
 
Mzabazab apewe tenda kwenye hayo magereza ya wanawake
 
Prison it's for punishment kwa uliyoyafanya uraiani, so kupewa haki ya kupiga/kupigwa mshipa ngome utachukulia poa.. hata ukipewa dongo ule mtaa utarudia yale yaliyokufanya uende ngome,,, so point ya msingi hapa Acha watu wapigwe na upwiru ngome ili hata wakitoka huko maisha mabovu basi watie akili.
 
View attachment 2958789



View: https://www.youtube.com/watch?v=mDH3QEXfcD8

Binafsi naona wafungwa wa kike ambao "siyo bikra" na wamefungwa zaidi ya mwezi mmoja wapewe haki ya kufanya mapenzi walau kwa wiki mara moja.

Hili jambo kama wana kataliwa tujiulize je sisi ambao tupo uraiani tunaweza kuishi bila hili tendo takatifu kwa muda gani? Wanapo ingia gerezani waandikishe majina ya wapenzi wao na namba zao za simu, wafanye

Serikali ya Tanzania imesema tendo la ndoa kwa wafungwa sio haki ya msingi na kwamba haki wanayostahili kupewa ni chakula na mavazi. Kauli hiyo inakuja siku chache tu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumtaka mkuu mpya wa jeshi la magereza nchini humo kuhakikisha wafungwa wanapatiwa haki zao za msingi ikiwemo mahali pazuri pa kulala na chakula.

Mbona wanazalishwa na askari magereza, wengine hutolewa usiku kwenda kula bata kisha hurudishwa alfajiri.
 
Uko sahihi, tufafanulie hao waliokaa gerezani miaka miwili wanapataje mimba! Au kupitia vyakula wanavyopelekewa na ndugu zao.
Hakuna mfungwa anayepata mimba aliyekaa zaidi ya miezi tisa.
Hao wanaozaa ni wale wanaingia na mimba zao.
Elewa tu dada zenu wana uhitaji mkubwa wa tendo.
 
Back
Top Bottom