Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

Mtu akipiga kavu anapewa adhabu ya kutopata kwa miezi mitatu.
Baada ya tendo wanapimwa clinik kama wamenanii ndani.
Pia, mtu anayekuja anaapimwa HIV na STDs.
UTI.
Duuuuh haki ya faragha imevunjwa mpaka HAPO sasa na wale wanaofika mpaka kwa Mpalange itakuaje?
 
Mtu akipiga kavu anapewa adhabu ya kutopata kwa miezi mitatu.
Baada ya tendo wanapimwa clinik kama wamenanii ndani.
Pia, mtu anayekuja anaapimwa HIV na STDs.
UTI.
Utakuwa ni upambavu,
Kama unataka haki ya kutiwa usitende kosa ubaki uraiani utiwe
 
Duuuuh haki ya faragha imevunjwa mpaka HAPO sasa na wale wanaofika mpaka kwa Mpalange itakuaje?
Ni kosa la jinai, wakimaliza wakati wa kuoga daktari anampima dada, akikuta hivyo , jamaa anakamatwa anafikishwa mahakamani kwa kosa la Ufi****i
 
View attachment 2958789

View: https://www.youtube.com/watch?v=mDH3QEXfcD8
Binafsi naona wafungwa wa kike ambao "siyo bikra" na wamefungwa zaidi ya mwezi mmoja wapewe haki ya kufanya mapenzi walau kwa wiki mara moja.
Hili jambo kama wana kataliwa tujiulize je sisi ambao tupo uraiani tunaweza kuishi bila hili tendo takatifu kwa muda gani?
Wanapo ingia gerezani waandikishe majina ya wapenzi wao na namba zao za simu, wafanye

Serikali ya Tanzania imesema tendo la ndoa kwa wafungwa sio haki ya msingi na kwamba haki wanayostahili kupewa ni chakula na mavazi. Kauli hiyo inakuja siku chache tu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumtaka mkuu mpya wa jeshi la magereza nchini humo kuhakikisha wafungwa wanapatiwa haki zao za msingi ikiwemo mahali pazuri pa kulala na chakula.

Kwa hiyo kwa akili yako ya haraka haraka... Unafikiri hawafanyi!?.... Nyooo! Thubutu!

Wanapigwa mikito kwelikweli!.... Tulio karibu na hawa watu... Tunayajua mengi
 
Utakuwa ni upambavu,
Kama unataka haki ya kutiwa usitende kosa ubaki uraiani utiwe
Si wote waliopo ndani wana makosa.
CAG ripoti inataja kila siku majizi ya ma-trilioni na hayaguswi , yana maghorofa na makampuni makubwa, yanaishia kusonywa tu na kuhamishwa wizara na mashirika ya umma.
Wasio na hatia ndio wapo ndani.
 
Ukifungwa maana yake Kuna Baadhi ya huduma muhimu unazikosa... Ile hamu inavyokupanda na ukakosa huduma ndio maana ya kifungo.
 
Back
Top Bottom