Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Miongoni mwa mambo yanayoshangaza ni namna wala tende walivyogeuza jambo la mauaji ya wananchi siku ya maandamano kuwa ni vita dhidi ya wagalatia.
Ukisikiliza hotuba za Wagalatia utagundua kuwa wao hawashambulii dini ya mtu, wanashambulia mambo yanayotendwa na serikali nzima, ambayo Mama Kizim-job ndio kiongozi wake, ambayo ni sambamba hata angekuwa kiongozi mwingine pale bila kujali dini yake.
Lakini upande wa pili, wavaa kobazi wameshindwa kuiwajibisha serikali dhidi ya ukiritimba, wao wameona ni fursa ya kupiga vita Ugalatia na kutaka kuudhoofisha. Wavaa kobazi wanauliza kuwa Wagalatia wanapata mabilioni ya pesa kutoka serikali kufadhili hospitali na shule ambazo ziko chini ya Wagalatia. Sasa nikawa najiuliza kama ni kweli kuna hizo pesa, kwani Wavaa kobazi wameshindwa nini na wao kujenga shule na hospitali kwa ajili ya umma hili nao wapewe hizo pesa. Lakini pia kwenye tafiti zangu nikagundua, Wavaa kobazi sio watu wa kutoa sadaka kwenye majengo yao, wao siku zote usubiri wapewe misaada tofauti na Wagalatia ambao ni wepesi kutoa michango na sadaka hata kama wako kwenye maisha duni. Jambo ambalo linafanya huduma za Wagalatia kunyooka vyema bila kuwa ma hekaheka za mapato na ndio maana viongozi wa Wagalatia uwa na maisha mazuri na kumiliki mali nyingi tofauti na viongozi wa Wavaa kobazi.
Hitimisho: Mimi kwa mawazo yangu Wavaa kobazi ni kama agenda yao ni vita ya kidini, na wao siku zote wanajipambanu kwa Jihad, yani kufia dini. Sasa baada ya hili sakata wao wameona ni vyema wakatuliza kiu yao ya muda mrefu ya kupambana na ugalatia