Wagalatia Vs Serikali Nzima, Wavaa kobazi Vs Wagalatia. Wala tende kila jambo wanaligeuza la kidini

Wagalatia Vs Serikali Nzima, Wavaa kobazi Vs Wagalatia. Wala tende kila jambo wanaligeuza la kidini

Mashehe wali swala la ndugu zao kufa Co issue ,ni kama Sunna kwao,
 
Nyerere aliukemea sana udini na ukabila, hakuacha tabia hii imee na kustawi nchini. Aling'oa miche yote ya udini isimee na kukua kwenye siasa za nchi. Leo hii wanasiasa wasio na soni ndio wamefanya dini yao kuwa ni chaka la kujifichia wanaposhutumiwa kwa uovu wao kwa wananchi
Bila kusahau kuwa, Waislam ndio walimchangua Mwalimu Nyerere (pamoja na kuwa alikuwa mkatoliki) na kumuwezesha kwenda UN kudai uhuru wa Tanganyika
 
Bila kusahau kuwa, Waislam ndio walimchangua Mwalimu Nyerere (pamoja na kuwa alikuwa mkatoliki) na kumuwezesha kwenda UN kudai uhuru wa Tanganyika
Kwa hiyo waislamu ndio wapanga mipango ya hii nchi... mimi nikajua ni watanzania wa Enzi hizo
 
Kwa hiyo waislamu ndio wapanga mipango ya hii nchi... mimi nikajua ni watanzania wa Enzi hizo
Nafikiri ukisoma historia ya kabla ya uhuru utaelewa kuwa, waanzilishi wa vuguvugu la uhuru walikuwa kina nani na ndio walikuwa na uwezo wa kuamua nani afanye nini...hivyo kwa utashi wao waliamua kumteua Mwalimu Nyerere na kumuwezesha kwenye UN kudai uhuru
 
Ni vyema zaidi ukasema watanganyika ndio walianzisha vuguvugu.... na si Waislamu, ukianza kuweka dini ndio utajua kuwa hujui kitu... miaka hiyo ukanda wa pwani ulitekwa na waarabu hivyo watumwa wengi wa Tanganyika ukanda wa pwani walibatizwa majina ya kiarabu. Na kubatizwa majina ya kiarabu hayakuondoka utanganyika wao. Ndio maana Zanzibar licha ya kuwa walikuwa wengi wamebatizwa kuwa Waislamu hawakusita kumngoa Mwarabu aliyekua sultani.

Husisema Waislamu ndio walianzisha vuguvugu la uhuru, uhuru ulianza kudaiwa kila mahali nchini, ilifika hatua makabila pia yalitaka kudai uhuru wa maeneo yao. Mfano Wachaga walitaka kujitawala na walikuwa na uongozi wao. Lakini kwa utashi wa Nyerere aliunganisha makabila haya na kuja na nchi moja. Dar es Salaam kwa sababu ndio ilikuwa mji tangu enzi na upo karibu na Pwani ya Zanzibar na kando ya bahari. Mji huo ulitumika tu kama kitovu cha harakati, na watu wengi wa maeneo hayo ambao walikwisha batizwa majina ya kiarabu wakaanza kujikuta wakiingia kwenye vyama vya kudai uhuru. Na badae vyama hivyo vikatapakaa mpaka mikoani. Harakati za kudai uhuru hazikuanzishwa na tabaka lolote la kidini, bali Watanganyika wenyewe waliamua kuungana
 
Nafikiri ukisoma historia ya kabla ya uhuru utaelewa kuwa, waanzilishi wa vuguvugu la uhuru walikuwa kina nani na ndio walikuwa na uwezo wa kuamua nani afanye nini...hivyo kwa utashi wao waliamua kumteua Mwalimu Nyerere na kumuwezesha kwenye UN kudai uhuru
Soma vitabu vya hakina nyerere
 
Back
Top Bottom