Waganda watoa sababu zao kwanini watakomaa na SGR ya Kenya na sio ya Tanzania

Naona anajifurahisha ninachojua kenya uganda na wengine mnakawivu ka kuzaliwa kuhusu tz yetu full stop
 
Naona waswahil wameshashindwa kushusha nondo zao humu, acha nitiririke kulingana na mada husika kidogo,kuelewa unge'nge pia imechangia waganda kutuchagua ss nakuwatupia kule wazee wa ziara za kushtukizia[emoji3] [emoji115] ,ikifika kwenye mikataba ss na wao tunaendana sako kwa bako, ila kwa wenzetu dah..taaaaabu..
 
Hakuna mada ya kujadili hapa, ni usumbufu tu.
Swali ni dogo sana na wakenya wote mnalikwepa, hivi Waganda, Wanyarwanda, Wacongo nk wakijengewa miundo mbinu mpaka usoni kwako watajali huu ni wa Kenya au wa Tanzania? Watakachojali ni uhakika wa huduma na bei nafuu.
 
Mimi nikiona hoja toka kwa huyo papai bichi huwa sihangaiki nayo
 
Website uliyotoa hii chai ni fake, hizi ndizo details za Uganda government domain portal sasa ziangalie then compare na hizo Annael alizoziweka ambazo ndizo hizo zako View attachment 534931 View attachment 534932

Kaka websites and domain stuffs are part of my day to day career activities, haya mambo nimekuambia huko mnakokwenda siwafuati. Wewe ndiye wa mwisho kukujibu kwa issue isiyohusiana na mada husika, nataka hili la reli tulikomeshe leo. Nakuweka pembeni hadi ukiwa tayari kujadili mada.
 
Hii ndio genuine Ugandan Government Portal View attachment 534933 View attachment 534934

Nooo! That is Peter Kahigi's website.....

U are acting like dumbheads, both of u!

Ofcoss that that is the Uganda govt main website, but the govt of Uganda is big, it comprises of of many departments, there is no way all the info can be included in the same website.

Each ministry in the Uganda govt has its own website, and some crucial depts within those ministries even have their own sites, dedicated to probiding info regarding their activities and services!

Now, tell me, isnt this a Ugandan govt website?

Ministry of Health | Republic of Uganda

Check out the domain details here..

health.go.ug - All the info about health.go.ug are on WebSiteLibrary Uganda

Annael....

Uganda Webhosting, Domain registration, creativity website designing, Google Apps, Software Development - LWEGATECH
 
Did it on behalf of the government see government in brackets after that name, after all address and everything are of the government decree.
 
Proposed railway in DRC Congo...Mombasa port will be the largest in africa
3b5e0816ee480b745c4347869664b8fa.jpg
 
Alafu usidhani ni kila mtu tu anayeregista governmental online stuff, mpaka mtu ambaye ni well proved, qualified, analyzed, skilled na major world cyber regulatory,

Mfano huyu Peter Kaiigi siyo simple man as you think sababu naona umeniwekea kawebsite cha graphics design as ndio hawa Kaiigis pole.
IMG_20170703_233005.JPG
Mr. Peter Kahiigi, CISM, CISSP®, MCDBA, MCSE, PRINCE2®. | NITA
 
Did it on behalf of the government see government in brackets after that name, after all address and everything are of the government decree.
Duh!

Yaishe hayo, you either face the debate, or chuck off!

That Uganda Sgr website is genune.

Ultimate proof.....

Scroll down this website, near the bottom. Under the "Useful Links", find the "Uganda Standard Guage Railway (SGR).

http://www.works.go.ug
 
Proposed railway in DRC Congo...Mombasa port will be the largest in africa
3b5e0816ee480b745c4347869664b8fa.jpg

Man the whle of Northern DRC itakua part of our corridor by default. We need to hasten these stuffs, pia Burundi and Rwanda wapo kwenye kapu, not forgetting South Sudan.
 
sreenshots of the pdf file

tnOjuPKkSbOE_irn3enCiw.png
QELLUV47TvC4ZQMq3yOiYA.png
rt3Iyu2sQ2KMpsbsgKULLg.png

.......................................................................................................................................................................................

pjxuaopkSUiuBZmE5uJXmQ.png
eUPvdeH_Qje4JWXYvuLoMw.png

......................................................................................................................................................................................

Ba6sdcR.jpg

.................................................................................................................................................................................

FAsj16V.jpg
 
hata kwanza pengine nikusaidie ndugu...the Mombasa-Kampala railway makes more economical sense than the Central corridor one....it will be cheaper, faster, and most importantly it is already in existence...the Tanzanian one bado ni ndoto za abunwasi..yaani wakenya wameshadunga msichana mimba...nyie mnawaza vile mta lea mtoto????.Pili, sijui pesa wanatarajia kutoa wapi ktk ujenzi uliosalia toka Morogoro hadi mwisho...kisha kuna shida za jiografia...Port ya Mombasa iko karibu na mji wa Kampala kuliko bandari ya dar....Isitoshe, kuna ziwa Victoria ambalo litakuwa kikwazo kikubwa kwa reli ya central corridor....mimi ningetaka kuwashauri watz wajaribu kukimbiza ile ya rwanda lakini hii ya Uganda itakua tembo mweupe kwani hakuna mganda aliye na akili zake timamu anaweza akaenda mbali kuchukua mizigo akawacha bandari ya karibu...its common sense...nadhani haya mambo yote MK254 amewasilisha ktk mada yake...wengine tu ni mazuzu hata kuelewa jambo simple kama hili wanashindwa...kisha akaweka link ili muweze kuhakikisha habari zile zinapotoka wengine mazuzu wanalalamika eti ni yeye kaandika....dah! watz mbadilike...huu upumbavu mlio nao ndio umewafanya nyie ni LDC mpaka wa leo...ubishi wa kijinga na ujeuri wa peni mbili...maskini jeuri nyie...blind patriots...nchi yenu iko maskini kupindukia ila nyie mwaona tu kubishana na kulinganisha kila uchao na nchi ambayo hata kama bado maskini pia, iko mbele yenu...
 
Tanzania's SGR was not designed for Ugandan cargo.
 
Kaka SGR zote zinaanza kwa kushughulikia soko la ndani kwanza, kuunga huko nje itakua kama bonus. Yetu inakusudiwa kuishia Kinshasa kama ramani ilivyoonyesha hapa chini. Lakini kwa sasa tunawaza Kisumu na Naivasha, tunawaza kuunganisha Malaba na Mombasa, viwanda vyote vilivyomo hapo kati.

DRC.jpg
Inawezekana hii mipango yote wala si yetu, waliyoipanga wako nje na wenyewe wanaijua vyema ilivyo. Hivi unafahamu kuwa unaweza ukasafiri kwa treni toka Dar hadi South Africa?
 
Tanzania's SGR was not designed for Ugandan cargo.
ur right...so please help ur fellow tanzanians understand this....also, ask them to stop comparing themselves to kenya and start working fo the development of their country...
 
Stop comparing "themselves"? ... Ha ha we are all the same, broke and backwards
 
and thats precisely why we must stop comparison game...its true we are all poor and backwards as you say...well, facing the truth, I think it will never stop...but as for me, I dont see how it will help...
 
May be you should've checked yourself bruh, Tanzania wanted to build a SGR regardless of Ugandan cargo. We have the Lake Zone that we need to carter for with a population almost the same as Uganda. There's gold, platinum, agricultural products, building materials and other cargo to and from Mwanza, Shinyanga, .Simiyu, Bukoba, Geita, Musoma. Just the GDP of this region can be the same as that of Uganda.
These railways are not only for neighboring countries, we have a huge population to cater for. So, yes the Northern corridor is a better choice for Uganda. But who cares? We got the pipeline, 12$ a barrel, 60,000 barrels a day. That's a lot of dough.
 
Uganda have already acquired and compensated over 100kms of land to the malaba border, no land has been purchased in the direction of Tanzania, can someone post photos of the Nairobi-Naivasha route ama tuchill ifike kitu 75% picha turushe hapa?
 
Back
Top Bottom