Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma ndio maana umejibu..hivyo una utamaduni wa kusoma vitu vya ma laymanThat's from layman's head mtu kajikalia chini ya mwembe kavimbiwa na githeri na kuja na hizi hekaya,
Sina utamaduni wa kujadili vitu kutoka kwa mtu wa aina hiyo
Anaweza akawa nayo ila ina uwezo wa kuzalisha kipi chenye manufaa? Mahitaji ya msingi ya wanadamu, la kwanza ni chakula, hata lolote libadilike kutokana na lolote lile, hili litabaki kama lilivyo tu.Una plot? Ina ukubwa gani?
My friend the domain registered by Lwegatech
Nani kasema haitafika Kigoma kwani? Au mimi tu ndo sijui hilo?Sioni hatari kwa waganda kupita Kenya. Businesswise it makes sense. Ni ujinga kukomaa na kitunachokupunguzia faida. Kisa unataka kumfurahisha Mtu.
Wabongo SGR ingeenda Kigoma, tungepiga pesa sana tu . Rwanda, Burundi and DRC soko kubwa sana.
Nani kasema haitafika Kigoma kwani? Au mimi tu ndo sijui hilo?
Sgr ya Kenya INA beba uzito mdogo kuliko ile ya Tanzania,tusilishane tango pori apa!?
Mi nadhani sgr ya Tz haijengwi kwa maslahi yake ya kwanza kukidhi soko la nje, labda Mimi ndo silijui hilo. Mi nadhani Tz ina ardhi kubwa bora kuliko zote, na ina population kubwa (soko) kupita zote. Sasa kwanini tuifikirie zaidi Uganda?
Tutaijenga kwanza kwa maslahi chanya ya Tz, ikitokea na ni lazima itokee, majirani wakihitaji wataitumia.
Tunataka kurahisisha usafirishaji ndani ya Tz kwanza. Halafu point alizozitaja Mkuu sisemi hazina mashiko, zinazo, ila sio pekee ktk biashara. Mfanyabiashara makini kwanza lazima ahakikishe Usalama wa mali zake kabla ya chochote kile.
You are wrong
Mkuu Hao ni matapeli hata ukiiangalia kwenye scam finder inaonesha wazi sio genuine from the government.My friend the domain registered by Lwegatech
Am not sure if the government website owned by private company. Nataka unieleze vizuri.
This is the information of the domain
View attachment 534882
You are wrong View attachment 534897
My friend the domain registered by Lwegatech
Am not sure if the government website owned by private company. Nataka unieleze vizuri.
This is the information of the domain
View attachment 534882
You are wrong View attachment 534897
Website uliyotoa hii chai ni fake, hizi ndizo details za Uganda government domain portal sasa ziangalie then compare na hizo Annael alizoziweka ambazo ndizo hizo zakoWewe na wenzako akina Mwanzi1 mbona mpo busy kupindisha uzi, mnakotaka kutokea hakuna mlango. Kwani nani alikuambia kila website ya serikali lazima iwe na SSL, hebu fuata hata ya mkulu wako Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais
Jameni naomba turudi kwenye mada tujadili yaliyomo.
Hii ndio genuine Ugandan Government PortalThat is Ugandan webhosting company commissioned by the govt of Uganda to design and maintain their website. Mnajaribu sana kupindisha maneno. Rudini kwenye mada.