Waganda watoa sababu zao kwanini watakomaa na SGR ya Kenya na sio ya Tanzania

Waganda watoa sababu zao kwanini watakomaa na SGR ya Kenya na sio ya Tanzania

Sioni hatari kwa waganda kupita Kenya. Businesswise it makes sense. Ni ujinga kukomaa na kitunachokupunguzia faida. Kisa unataka kumfurahisha Mtu.

Wabongo SGR ingeenda Kigoma, tungepiga pesa sana tu . Rwanda, Burundi and DRC soko kubwa sana.
 
That's from layman's head mtu kajikalia chini ya mwembe kavimbiwa na githeri na kuja na hizi hekaya,

Sina utamaduni wa kujadili vitu kutoka kwa mtu wa aina hiyo
Umesoma ndio maana umejibu..hivyo una utamaduni wa kusoma vitu vya ma layman
 
Mi nadhani sgr ya Tz haijengwi kwa maslahi yake ya kwanza kukidhi soko la nje, labda Mimi ndo silijui hilo. Mi nadhani Tz ina ardhi kubwa bora kuliko zote, na ina population kubwa (soko) kupita zote. Sasa kwanini tuifikirie zaidi Uganda?

Tutaijenga kwanza kwa maslahi chanya ya Tz, ikitokea na ni lazima itokee, majirani wakihitaji wataitumia.

Tunataka kurahisisha usafirishaji ndani ya Tz kwanza. Halafu point alizozitaja Mkuu sisemi hazina mashiko, zinazo, ila sio pekee ktk biashara. Mfanyabiashara makini kwanza lazima ahakikishe Usalama wa mali zake kabla ya chochote kile.
 
It is a genuine Uganda govt Sgr portal...

SGR Uganda
My friend the domain registered by Lwegatech
Am not sure if the government website owned by private company. Nataka unieleze vizuri.

This is the information of the domain
Screenshot_2017-07-03-21-11-43.png
 
Sioni hatari kwa waganda kupita Kenya. Businesswise it makes sense. Ni ujinga kukomaa na kitunachokupunguzia faida. Kisa unataka kumfurahisha Mtu.

Wabongo SGR ingeenda Kigoma, tungepiga pesa sana tu . Rwanda, Burundi and DRC soko kubwa sana.
Nani kasema haitafika Kigoma kwani? Au mimi tu ndo sijui hilo?
 
Nani kasema haitafika Kigoma kwani? Au mimi tu ndo sijui hilo?

Lini?? Ndio kwangu Tatizo. TUNGEWAHI HUKO. plan inasema Mwanza kwanza. Na maaada unahusu Uganda.
 
Sgr ya Kenya INA beba uzito mdogo kuliko ile ya Tanzania,tusilishane tango pori apa!?

Hayo umeyatoa vijiwe gani, hebu leta data za uhakika hapa maana yenu ni Single Stack container system ilhali Kenya ni double stack. Ama nawewe utaleta screenshot za matamko.
 
Achaneni na ndoto za tanzAnia ya vi wonder. Walianza matumaini babu zenu enzi ya nyerere wakajaribu kuunda hadi nyumbu, mwishowe wakaambulia patupu. Tafuteni hela. Mjenge familia zenu.

Kenya walishatutaNgulia kwa mengi.
Punguzeni pressure na stress.

Wengine kwa kufikiria meshaanza kua na sura kama hp wakati bado vijana na matineja.
 
Mi nadhani sgr ya Tz haijengwi kwa maslahi yake ya kwanza kukidhi soko la nje, labda Mimi ndo silijui hilo. Mi nadhani Tz ina ardhi kubwa bora kuliko zote, na ina population kubwa (soko) kupita zote. Sasa kwanini tuifikirie zaidi Uganda?

Tutaijenga kwanza kwa maslahi chanya ya Tz, ikitokea na ni lazima itokee, majirani wakihitaji wataitumia.

Tunataka kurahisisha usafirishaji ndani ya Tz kwanza. Halafu point alizozitaja Mkuu sisemi hazina mashiko, zinazo, ila sio pekee ktk biashara. Mfanyabiashara makini kwanza lazima ahakikishe Usalama wa mali zake kabla ya chochote kile.

Kaka SGR zote zinaanza kwa kushughulikia soko la ndani kwanza, kuunga huko nje itakua kama bonus. Yetu inakusudiwa kuishia Kinshasa kama ramani ilivyoonyesha hapa chini. Lakini kwa sasa tunawaza Kisumu na Naivasha, tunawaza kuunganisha Malaba na Mombasa, viwanda vyote vilivyomo hapo kati.

DRC.jpg
 
My friend the domain registered by Lwegatech
Am not sure if the government website owned by private company. Nataka unieleze vizuri.

This is the information of the domain
View attachment 534882
Mkuu Hao ni matapeli hata ukiiangalia kwenye scam finder inaonesha wazi sio genuine from the government.
 
Na lile bomba la mafuta linalo jengwa sasa hapa kwenye ARDHI YA MAGUFULI kutoka UGANDA vipi wakenya mna weza ongea lolote lile Kuhusu ..!??
 
Wewe na wenzako akina Mwanzi1 mbona mpo busy kupindisha uzi, mnakotaka kutokea hakuna mlango. Kwani nani alikuambia kila website ya serikali lazima iwe na SSL, hebu fuata hata ya mkulu wako Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais

Jameni naomba turudi kwenye mada tujadili yaliyomo.
Website uliyotoa hii chai ni fake, hizi ndizo details za Uganda government domain portal sasa ziangalie then compare na hizo Annael alizoziweka ambazo ndizo hizo zako
IMG_20170703_223441.JPG
IMG_20170703_223455.JPG
 
That is Ugandan webhosting company commissioned by the govt of Uganda to design and maintain their website. Mnajaribu sana kupindisha maneno. Rudini kwenye mada.
Hii ndio genuine Ugandan Government Portal
IMG_20170703_223441.JPG
IMG_20170703_223455.JPG
 
Back
Top Bottom