Hao wanaotumia nguvu za Giza madhabahuni ni agents wa kuzimu,Kwa Mungu wapi kwa sababu tunasikia tuhuma za baadhi ya manabii hutumia nguvu za giza kama source ya nguvu zao katika kutenda miujiza.
Kwamba Mungu aliumba shetani?Shetani ni title, na ni kiumbe Cha kiroho pia.
Asili zao ni kuzimu,Yale yale kwa maana ipi ya asili yao au tabia zao?
Fursa ipo popote tu mkuu ndio maana siku hizi hata nyumba za ibada zimejaa kuliko waganga, kikubwa ni huduma ya miujiza maana ndio habari ya mjini kwa sasa.Mganga wa kweli ana lengo la kuondoa matatizo, mchawi anayaweka, tatizo waganga wengi sikuhizi wameingia tamaa wamegeuza matatizo yawe fursa
Amini upendqlavyo, lakini amini kuwa shetani ni mtu mwemyewe mwenye sifa hiyo. Hakuna kiumbe cha tofauti.
Matapeli kwa maana ipi?Shetani Hayupo.
Wachawi, waganga, walozi wote hao ni matapeli kama walivyo matapeli wengine.
wakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water
Mungu aliumba Malaika kama watumishi wake,Kwamba Mungu aliumba shetani?
Umetisha mkuu. Wazo zuri sana😅Usikute wanacheza mechi za kirafiki ili kujiimarisha kimbinu na uwezo.
Wanaosema shetani hayupo, ndio mashetani wenyewe.Shetani Hayupo.
Wachawi, waganga, walozi wote hao ni matapeli kama walivyo matapeli wengine.
Ufalme wao pia una ranks....
Kinachofanyika ukienda anaangalia hayo makitu uliyonayo km Yana kiwango Cha chini kuliko aliyonayo yeye ,akiona hizo spirit zinazokusumbua ziko chini anayanyanazisha tu Kwa kukuwekea yenye uwezo zaidi Ili Yale uliyonayo yasikusumbue.....
Ndo maana kuna wengine ukienda anaangalia, utasikia hii siwezi nenda sehem Fulani,ujue yamemzidi kiwango 😅
Wengine sikuhizi hawafichi akichungulia akiona huu mziki mnene anakwambia katafute wale Wana maombi watakusaidia....(Nina watu washaambiwa hivyo baada ya kuhangaika ,tabora zenj huko😅)
Mchawi anaweza kukuroga, ukaenda kwa Mganga, then Mchawi akaenda kwa Mganga ama kumuomba au kumpa Rushwa ili asikutibie, ikiwa Nguvu za Mganga ni kubwa kuliko za Mchawi...!wakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water
Kwa stairi hiyo basi hao manabii wa kweli ni wachache mno maana siku hizi watu wanataka huduma ya miujiza na ndio maana makanisa yamekuwa mengi kuliko villinge vya waganga kwa ajiri ya kutoa huduma ya miujiza.Hao wanaotumia nguvu za Giza madhabahuni ni agents wa kuzimu,
Ni sawa tu na mganga avue kaniki, avae sauti na kufungua Kanisa.
Mungu ameruhusu hayo maana yapo na yalishataniriwa katika maandiko.
Lakini, Manabii wa Kweli wapo, hawauzi miujiza, wamepewa karama Bure, wanatoa bure.
Ukienda Kwa nabii, anayetoza fee kumuona ni WA UONGO, ikiwa ana kashfa za kuzini na waumini, ni WA UONGO huyo. Nk nk
Mungu akusaidie kuwatofautosha.
Hizo habari za uchawi na shetani napenda kukuita unisaidie kumpiga spana mkuuUzi tayari 🤣🤣🤣
Kwanza kabisa athibitishe uchawi upo na shetani yupo.Hizo habari za uchawi na shetani napenda kukuita unisaidie kumpiga spana mkuu
Nimetaka kujua asili yao mfano kuna binaadamu, wanyama, malaika sasa hao majini mashetani na vibwengo nao ni asili yao ipi?Asili zao ni kuzimu,
Katika ukoo, ukiambiwa Mizimu ya ukoo inataka hili au lile Ili mfanikiwe katika jambo Fulani, jua ni shetani huyo.
Kwa nje ni kama anawapa ulinzi, lakini anataka aabudiwe, na ndiyo chanzo Cha matatizo, mf magonjwa ya kurithi, vifo vya kijirudia tarehe mwezi, kutolewa, nk nk