Ni jina lenye maana yake kwa maana hata wewe unaweza ukaitwa hilo jina.Hakuna kiumbe kinachoitwa shetani.
Shetani ni jina la kufikirika tu.
Na mimi najua iko hivyo kama hapo wewe una experience yako kuhusu waganga ila wao kwao ni tofauti, mtu hana experience yeyote na kitu anachokipinga ndio maana ni tabu kubishana na watu kama hao.yaani dunia ukitaka kujua vitu kwa upana wake, fanya majaribio
mimi nshaenda kwa waganga, wapo ambao ukiona vitu vinavyofanyika unaogopa hata kutoka nje, matapeli pia wapo
Wanachezewa Mchezo smart bila wao kujua. Ni wachawi wa Higher rank au waganga wa higher rank ndio wanajua game nzima ya mchezo.wakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water
usishau pia ni waongo sanaShetani maana yake ni machafuko au vurugu.
Hivyo wanapogombana ni sehemu ya utaratibu wa maisha yao ya vurugu.
mkuu umemalizia vizuriWanachezewa Mchezo smart bila wao kujua. Ni wachawi wa Higher rank au waganga wa higher rank ndio wanajua game nzima ya mchezo.
Ila walio wengi wanajua kuna ka uadui fulani baina yao, ni kama unavyoona Simba na Yanga, huku chini washabiki wanachukulia hayo mambo serious,lakn walio top wanaona ni mbinu ya mchezo.
Mchawi ni nani?? Mganga ni nani??
Mchawi ni mharibifu tu, mafunzo yake na mind yake imekuwa conditioned kuujenga ufalme wa giza kwa njia ya kuharibu , kufunga na kuvuruga. Haijalishi nguvu zake au maagano yake, tools zao zote zinafanya kazi hiyo. Huyu namchukulia kama RUNGU.
Upande wa Mganga huyu ni mharibifu na mtengenezaji. Yaani mchawi aliye ongezewa maarifa ya kutibu pia. Neno kutibu sio lazima limaanishe kuweka Huru. Huyu ni kama Nyundo inayo weza kugonga na kuchomoa misumari.
Hawa jamaa wana bargain, wanatengeneza madili, kwamba huyu usimponyeshe, huyu tuachie wa kwetu, tutakupa fedha etc . Sametimes waganga wenye maarifa hutumiwa na wachawi kufanya uchawi na kuroga. Huko ni ktk kucheza game yao kuwa yenye kuwachangamsha.
Ikifika ktk mambo halisi ya kuugusa utawala wao, wote wanafanya kitu kimoja. Hufanya vikao vya usiku, hupewa assignment ya kuleta matokeo fulani.
Si unao simba na yanga ikifika ktk jambo la Nchi, wanaitwa na mamlaka kuu na wanacheza pamoja tena fresh kabisa.
Unapo enda kwa mganga, huko unasajiliwa kama hospital wanavyo kusajili, isipokuwa tu waganga wanachukua Adress zako za Rohoni ,wakipewa assignment kukuhusu au wakitaka fedha ay kitu kwako wanakuchangamsha tu.
Msihadaike, hakuna mwema kati yao, wanakuhamisha tu office ya kifungo na umiliki, MUNGU ndio true healer na Savior.
mkuuu unamtibitishiaje Kiranga Kiranga kuwa Mungu yupo?Wanachezewa Mchezo smart bila wao kujua. Ni wachawi wa Higher rank au waganga wa higher rank ndio wanajua game nzima ya mchezo.
Ila walio wengi wanajua kuna ka uadui fulani baina yao, ni kama unavyoona Simba na Yanga, huku chini washabiki wanachukulia hayo mambo serious,lakn walio top wanaona ni mbinu ya mchezo.
Mchawi ni nani?? Mganga ni nani??
Mchawi ni mharibifu tu, mafunzo yake na mind yake imekuwa conditioned kuujenga ufalme wa giza kwa njia ya kuharibu , kufunga na kuvuruga. Haijalishi nguvu zake au maagano yake, tools zao zote zinafanya kazi hiyo. Huyu namchukulia kama RUNGU.
Upande wa Mganga huyu ni mharibifu na mtengenezaji. Yaani mchawi aliye ongezewa maarifa ya kutibu pia. Neno kutibu sio lazima limaanishe kuweka Huru. Huyu ni kama Nyundo inayo weza kugonga na kuchomoa misumari.
Hawa jamaa wana bargain, wanatengeneza madili, kwamba huyu usimponyeshe, huyu tuachie wa kwetu, tutakupa fedha etc . Sametimes waganga wenye maarifa hutumiwa na wachawi kufanya uchawi na kuroga. Huko ni ktk kucheza game yao kuwa yenye kuwachangamsha.
Ikifika ktk mambo halisi ya kuugusa utawala wao, wote wanafanya kitu kimoja. Hufanya vikao vya usiku, hupewa assignment ya kuleta matokeo fulani.
Si unao simba na yanga ikifika ktk jambo la Nchi, wanaitwa na mamlaka kuu na wanacheza pamoja tena fresh kabisa.
Unapo enda kwa mganga, huko unasajiliwa kama hospital wanavyo kusajili, isipokuwa tu waganga wanachukua Adress zako za Rohoni ,wakipewa assignment kukuhusu au wakitaka fedha ay kitu kwako wanakuchangamsha tu.
Msihadaike, hakuna mwema kati yao, wanakuhamisha tu office ya kifungo na umiliki, MUNGU ndio true healer na Savior.
na wengine akawaambia wanene kwa lugha isiyojulikanaNi Kweli,
Watumishi wa Mungu wa Kweli ni Wachache kuliko matapeli,
Ni sawa tu na njia ya Mbinguni, ni nyembamba sana, lakini ya kwenda kuzimu ni Pana, na wengi wanaingia humo,
Mfano mdogo, dini kubwa mbili uzijuazo, ni Mali ya Popee, anahakikisha wote wale waliomo anawapeleka chini, lakini Kwa nje wanaamini wanaenda Mbinguni.
Wengine amewambia ukimchinja kafiri utaona Pepo, wengine anawambia kunywa kidogo usilewe, na sasa amewambia mashoga wanafaa kubarikiwa,
Ndo ujue njia ya Mbinguni ni nyembamba sana.
Ubarikiwe.
Yesu pia aliandika Kwa lugha ya Mbinguni kuwaonyesha waliotajwa kumpiga mawe kahaba dhambi zao.na wengine akawaambia wanene kwa lugha isiyojulikana
Kwan ukitibiwa hospital haufi!???wakuu hebu tusaidiane.
waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani
kwanini wanapingana
mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife
cc rakims
ccmshanajr
walker water
ila mkuu ipo siku na wewe mwenyewe utatuambia tuthibitishe kama upo π π πStories kibao, assumptions kibao. Proof zero.
Mimi si issue, ukiweza au usipoweza kuthibitisha uwapo wangu, bado hujathibitisha Mungu yupo.ila mkuu ipo siku na wewe mwenyewe utatuambia tuthibitishe kama upo π π π
lazima aingie gharama, sababu dawa zingine hupata kwa waganga na wachawi wenzioMganga anapokutibia hutoza fedha kama gharama ya matibabu. Je mchawi naye anaporoga huwa kuna gharama anaingia ili akuroge..??
wengine wanapona wengine wanakufaKwan ukitibiwa hospital haufi!???
Yaani mpaka anatoa lafara ili aniroge mimi.. Basi kazi ipo..lazima aingie gharama, sababu dawa zingine hupata kwa waganga na wachawi wenzio
so hawawezi kumpa bure
nadhani hutoa kafara watu wao wa karibu pia
ccmshanajr