Waganga wa kienyeji wanawafaidi sana wanawake

+ Upigaji Ndio itakuwa alikuwa yeye

Uganga wa Asili ukiukataa jiandae kuwa kituko Duniani au la Wana kuua kabisa Hakuna atakaye weza kukusaidia,

Bad enough Huo ugomvi hautoisha Hadi Kwa vizazi vyako
Kuna shangazi yangu R.I.P yalimpata aliyakubali baadaye wakampeleka kanisani kuombewa walimtia upofu na uwete hadi kifo
 
😁😁😁😁 Ilikuwaje Mzee !?
Kuna ndugu alikuwa anaumwa, watoto wake huyo ndugu wakaamua kwenda kwa mganga. Kufika kwa mganga wakaambiwa mgonjwa amerogwa na ndugu zake. Kuanzia hapo ikawa beef kati ya watoto wa huyo ndugu na ndugu wengine . Sasa tangu hapo hao ndugu hawaongei. Fck yuu waganga wote wagombanishi
 
Kuna shangazi yangu R.I.P yalimpata aliyakubali baadaye wakampeleka kanisani kuombewa walimtia upofu na uwete hadi kifo
Ndio walivyo hao Mzee yakikutaka ufanye kazi Yao ukizingua utajuta kuzaliwa Wana power kubwa sana hakuna Maradhi ambayo watashindwa kukupa na hutopona

Asikudanganye mtu hakuna mchungaji Wala shekhe Wala mganga wa kukusaidia labda ukutane na mganga then akushauri tu kwamba ukubali kufanya kazi Yao apart from that you're doomed

Na ukiona kuwa walikutaka then ukakataa na wakakuacha salama basi ujue wewe haukuwa target Yao sahihi
 
Mimi sio niliyesema kuwa binamu yangu ni mganga 🀣🀣

Ila nipo Moro town though nilitaka kumjua huyo mshenzi
Sawa mkuu. Sorry nimekunukuu vibaya. Basi tumsubiri mtoa mada aje kutusanulia.
 
🀣🀣 Dahh so sad 😒
 

Wajinga ndiyo waliwao
πŸ˜›
 
Na wewe the way ulivyo na kiuno kizuri namna hiyo ukijichanganya Kwa mganga tapeli Umeisha lazima akufaidi sana 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hizo sehemu siwezi kwenda bora hata nikakeshe kwa mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…