Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao.

Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli.

Sio Pangani tu hata huko Nachingwea, Lindi na Mtwara ndiko waganga wao walipo
 
Acha kulia lia, hifadhi machozi mpaka Tarehe 8 March 2025, yanakazi kubwa
 
1738430659798.jpg
 
Simba ilipunguziwa wachezaji uwanjani katika mechi na Azam. Kwa macho walikuwa wachezaji 11 ila kiuhalisia walikuwa 8 tu.

Hapo sitaongelea pini walizokuwa wanapigwa wakati mechi inaendelea. Angalia matukio ya Che Malone, Zimbwe, Janshalewa na Camara. Wote hawa hawakutakiwa kumaliza mchezo.
 
Adeni rage alikuwa sahihi sana
 
Mechi zote za derby yanga walikuwa wanawafunga matofali kichawi miguuni wachezaji wa SIMBA ndo maana wakatufunga wachawi wakubwa wanga, wakubwa.
 
Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao.

Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli.

Sio Pangani tu hata huko Nachingwea, Lindi na Mtwara ndiko waganga wao walipo
Kama mnajua pangani ndo kwenye waganga wa kuiloga simba si muende na nyingi?mkizidiwa ki mpira mnatafuta sababu kuwa mnalogwa na nyie mkaloge.
 
Mbumbumbu ni wengi umakololoni.
 
Back
Top Bottom