Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Adeni rage alikuwa sahihi sanaSimba ilipunguziwa wachezaji uwanjani katika mechi na Azam. Kwa macho walikuwa wachezaji 11 ila kiuhalisia walikuwa 8 tu.
Hapo sitaongelea pini walizokuwa wanapigwa wakati mechi inaendelea. Angalia matukio ya Che Malone, Zimbwe, Janshalewa na Camara. Wote hawa hawakutakiwa kumaliza mchezo.
Hata Haji ManaraAdeni rage alikuwa sahihi sana
Kama mnajua pangani ndo kwenye waganga wa kuiloga simba si muende na nyingi?mkizidiwa ki mpira mnatafuta sababu kuwa mnalogwa na nyie mkaloge.Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao.
Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli.
Sio Pangani tu hata huko Nachingwea, Lindi na Mtwara ndiko waganga wao walipo
Mbumbumbu ni wengi umakololoni.Kama mnajua pangani ndo kwenye waganga wa kuiloga simba si muende na nyingi?mkizidiwa ki mpira mnatafuta sababu kuwa mnalogwa na nyie mkaloge.