Waganga wa Pangani waiumbua Yanga mkutano wa Rais leo, aibu kubwa sana hii

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao.

Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli.

Sio Pangani tu hata huko Nachingwea, Lindi na Mtwara ndiko waganga wao walipo
 
Mh! mbona mmeanza kupiga kelele mapema sana!
 
Noma sana
 
K
Kwani Simba wamezuiwa?
 
Waloge tuu hawjaanza leo wala jana
 
Yashazoeleka hayo kwa yanga now days ili U trend lazima uiseme yanga so huyo aliyesema hivyo anajua. hivyo hakuna jipya na tarehe 8 kichapo kwa dunduka kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…