Uchaguzi 2020 Wagombea CCM wakwama kufanya kampeni

Acha uongo kaka, Rais Magufuli ni mcha Mungu
 
Mimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Endelea kujidanganya, mdanganye na m. Kiti vizuri.
 
Mimi sina chama ila nikiangalia CCM inapendwa sana
Ukiangalia wapi?...... au ni nafsi yako!.....

Nenda Kanda ya ziwa. Nenda Kaskazini. nenda Nyanda za juu then uje Dar. Wananchi wamwchoka balaaaaaa... Wanahitaji maendeleo yao sio maendeleo ya vitu.... ujenzi wa Stiglers na SGR miradi miwili tu ni trillion 15. hujakopa then unajisifia eti tunajenga kwa pesa za ndani. How can you service those project?... Means mambo yote ya kwame kwa miaka 10 kisa unajenga Stiglers na SGR.... No way maisha yanaendelea... Walioko 45 years og age huyu ndio rais wao wa mwisho wakiwa na nguvu ya kutafuta pesa. after that they will be out of mfumo.
 
Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na Magufuli anapendwa sana na Watanzania atashinda kwa kishindo

Watu wachache huwa hawakosi kulalamika
 
Wagombea wengi wa chama cha Mbowe kuanzia Ubunge, na udiwani hali mbaya. Wengi wanaomba omba michango kwenye ma group ya whatsap ili kumalizia kampeni zao. Mbowe fungua pochi uokoe jahazi..
 
agombea wengi wa chama cha Mbowe kuanzia Ubunge, na udiwani hali mbaya. Wengi wanaomba omba michango kwenye ma group ya whatsap ili kumalizia kampeni zao. Mbowe fungua pochi uokoe jahazi..
Duniani kote wagombea huomba michango kutoka kwa wananchi na wanachama wao isipokuwa hapa Tanzania ambako CCM inachota tu kodi zetu huko hazina kama wanavyotaka kufanyia kampeni. Wezi wakubwa...mwaka huu wananchi waliochoka kuibiwa watahakikisha mnafungasha virago.
 

CCM sio Tundu lissu, sema jimbo gani? mbona wana war chest ya kutosha na wagombea inaonekana imewashinda kuitumia. Ya Mwanga, Kilimanjaro ni zaidi ya shilling million 700,(mia saba million) Michango ya hiyari kwa ujumla ya wanaMwanga popote wanapo ishi.
 
Mimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Mimi ni Mwana CCM, kwa hizi taarifa za uongo uongo wanazotoa Wana Chadema ili kujiliwaza na kujiona wajuaji zitawatokea puani Oktoba 28!
 
Acha wafie mbali mashetani hao
 
CCM ina"DANGA" kwa Serikali. Chama hovyooo kabisa.
 
Maana ya Tume Huru popote ulimwenguni ni kwamba haiteuliwi na serikali au rais, bali huchaguliwa na wanumbe mchanganyiko waliopitia usaili. Wewe ungeng'ang'ania tu kuwa Katiba hii inampa mamlaka rais kuiteua Tume, lakini si huru hata tukiipenda mimi na wewe.
 
Wagawane wasanii, mbona bongo movie awatumiki hii inakaaje
 

Unadanganya. Kenya ni Rais anateua NEC? No. Wewe labda ni uoga umekuingia hata udanganye? Huoni kuwa ni UJINGA sana kwenye mashindano mmoja wa washindani peke yake ateue wasimamizi?

CCM ingekuwa inapenda uchaguzi wa haki ingelazimisha sheria kwamba mgombea wa Urais akishindwa hana haki ya kwenda mahakamani? Inajua inaiba kura na kutawala kwa nguvu.

Wewe bila shaka ni nyapara wa CCM. We are, I submit, a colony of CCM. Unaona watu wanaweza kujikomboa kutoka utumwa huu wa CCM na hicho kinaogopesha sana nyapara wa CCM, yaani watu wa aina yako.
 
Yaani wanasaccos kwa kujibaguza hamjambo!
 
Kwa nini mnashiriki uchaguzi basi? Wanasaccos lazima mtakuwa na matatizo ya kiakili kama mgombea wenu wa urais.
 
We

Wewe kweli ndondo.cha katika maelezo yangu hapo kuna sehemu nimetaja Kenya?


Nikichoongea chote kinahusu Tanzania na Katiba yake.


Halafu huko Kenya ambako Rais hateuwi Tume kuna mabadiliko gani? Mbona hali ni ile ile Tume hiyo ya Kenya nayo inalalamikiwa tu kila uchaguzi na wanauana tu!

Hatuna la kujifunza kutoka kwao
 


Huko Duniani unakosema uchaguzi wao huwa ni huru?

Mfano: Kenya Tangu lini uchaguzi uliwahi kuwa huru?
 
Hukutaja Kenya. Nimekupa mfano wa nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiteuliwi na Rais peke yake. Nilifanya hivyo kwani ulidanganya kila nchi ni Rais tu ndiye anateua Tume ya Uchaguzi. Unatetea ujinga. Don't you know what a counter-example is? Kama kuna malalamiko bado ni beside the point.

CCM imekuwa inategemea kuiba kura miaka mingi mno. Wanatutawala kwa nguvu hao kizazi cha nyoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…