Bwana Jela
Senior Member
- Nov 25, 2019
- 131
- 655
Acha uongo kaka, Rais Magufuli ni mcha Mungu
Kweli kabisa
1.Aliwaua watu na kuwa tesa baadhi kikatili
2.Aliwafukuza watu kazi kikatili
3.Alikula pesa la rambirambi
4.Amewanyima watu ajira kwa miaka mitano
5.Hajaongeza mishahara kwa wafanyakazi
6.Amefanya maisha kuwa magumu
7.Wajawazito sikuhizi wanalipia
Anahuruma sana huyu Baba anasaidia sana!Ana mwaga pesa Barabarani