Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Wagombea Ubunge wengi wa CCM wamekwama kufanya kampeni kwa kuzingatia ratiba ya tume huku sababu zifuatazo zikitajwa
1. Kukosekana kwa fedha na chama, wabunge wengi wanakwama baada ya bajeti kubwa kuelekezwa kwa wasanii waandishi, watangazaji, viongozi wa umma wanaoratibu uchaguzi kwenye majimbo.
2. Baadhi ya wagombea wameelekezwa kutotumia gharama nyingi kwa sababu tayari Wana uhakika watapita hata wasipoomba kura, Hawa Ni wale wanaotoka majimbo ya mkoa wa Tabora, Lindi, Ruvuma na Dodoma ambapo wananchi hawana mwamko wakulinda na kusimamia kura
3. Idadi ya wananchi wanaokwenda kwenye kampeni zao Ni ndogo hivyo wakiendelea na kampeni wakati wagombea wa vyama vingine Wana wafuasi mkubwa kunawakatisha tamaa wapenzi wao kuona wameshindwa.
4. Dharau ya wagombea kwa wananchi.