Uchaguzi 2020 Wagombea CCM wakwama kufanya kampeni

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Wagombea Ubunge wengi wa CCM wamekwama kufanya kampeni kwa kuzingatia ratiba ya tume huku sababu zifuatazo zikitajwa

1. Kukosekana kwa fedha na chama, wabunge wengi wanakwama baada ya bajeti kubwa kuelekezwa kwa wasanii waandishi, watangazaji, viongozi wa umma wanaoratibu uchaguzi kwenye majimbo.

2. Baadhi ya wagombea wameelekezwa kutotumia gharama nyingi kwa sababu tayari Wana uhakika watapita hata wasipoomba kura, Hawa Ni wale wanaotoka majimbo ya mkoa wa Tabora, Lindi, Ruvuma na Dodoma ambapo wananchi hawana mwamko wakulinda na kusimamia kura

3. Idadi ya wananchi wanaokwenda kwenye kampeni zao Ni ndogo hivyo wakiendelea na kampeni wakati wagombea wa vyama vingine Wana wafuasi mkubwa kunawakatisha tamaa wapenzi wao kuona wameshindwa.

4. Dharau ya wagombea kwa wananchi.
 
Mimi sina chama ila naona wagombea wa Ccm wananafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Kama ndivyo kulikuwa kuna haja gani ya kutumia fedha za umma kuwakodisha Wasani lukuki? Watadai ni fedha za chama lkn si kweli.

Ukweli uko wazi maendeleo ni ya watu siyo ya vitu. CCM imechokwa na hata yenyewe imejichokea kwa sasa ni nguvu ya Dola na Tume ya Uchaguzi ndiyo tegemeo lao kuu.
 
Mimi sina chama ila nikiangalia CCM inapendwa sana
Kama ndivyo kulikuwa kuna haja gani ya kutumia fedha za umma kuwakudisha Wasani lukuki? Watadai ni fedha za chama lkn si kweli.

Ukweli uko wazi maendeleo ni ya watu siyo ya vitu. CCM imechokwa na hata yenyewe imejichokea kwa sasa ni nguvu ya Dola na Tume ya Uchaguzi ndiyo tegemeo lao kuu.
 
Hata Mimi ningekuwa mgombea ubunge wa CCM nisingehangaika na kampeni Kila siku. Ningesubiri tu jemedari JPM akaja jimboni Kwangu tukakiwasha siku hiyo na kufunga hesabu kabisa.

Maana sijaona upinzani uliojipanga kuchukua Madaraka katika Uchaguzi huu.
 
Mimi sina chama ila naona wagombea wa Ccm wananafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Kazi kubwa aliyofanya Magufuli? Endelea na bongolala yako, mwenzako mpaka betri inazimazima huko.
IMG-20200930-WA0020.jpg
IMG_20201001_031952.jpg
IMG_20201001_031250.jpg
 
Mimi sina chama ila naona wagombea wa Ccm wananafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Kazi kubwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kazi kubwa kuwapora wafanyabiashara wakubwa pesa zao kuwabambikia madeni makubwa ya TRA kesi za uhujumu uchumi? Kazi kubwa kuiba trilion 1.5 kununua Ndege kwa cash kupita 10% kwa cash kisha kumtoa CAG kafara?
 
Huo ni uwongo kaka yangu
Kazi kubwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kazi kubwa kuwapora wafanyabiashara wakubwa pesa zao kuwabambikia madeni makubwa ya TRA kesi za uhujumu uchumi? Kazi kubwa kuiba trilion 1.5 kununua Ndege kwa cash kupita 10% kwa cash kisha kumtoa CAG kafara?
 
Wagombea Ubunge wengi wa CCM wamekwama kufanya kampeni kwa kuzingatia ratiba ya tume huku sababu zifuatazo zikitajwa

1. Kukosekana kwa fedha na chama, wabunge wengi wanakwama baada ya bajeti kubwa kuelekezwa kwa wasanii waandishi, watangazaji, viongozi wa umma wanaoratibu uchaguzi kwenye majimbo.

2. Baadhi ya wagombea wameelekezwa kutotumia gharama nyingi kwa sababu tayari Wana uhakika watapita hata wasipoomba kura, Hawa Ni wale wanaotoka majimbo ya mkoa wa Tabora, Lindi, Ruvuma na Dodoma ambapo wananchi hawana mwamko wakulinda na kusimamia kura

3. Idadi ya wananchi wanaokwenda kwenye kampeni zao Ni ndogo hivyo wakiendelea na kampeni wakati wagombea wa vyama vingine Wana wafuasi mkubwa kunawakatisha tamaa wapenzi wao kuona wameshindwa.

4. Dharau ya wagombea kwa wananchi.
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kura
 
Mimi hayo sijayaona ndugu yangu, ila nimekuwa nikiona Rais Magufuli akiwapatia msaada Watanzania mbalimbali

Ana huruma na upendo huyu Baba
Wewe unapenda ushetani wa CCM kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?
 
Back
Top Bottom