Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

Wangapi tuliaminishwa wana afya njema kumbe walikuwa wanatembea na battery kwenye moyo
 
Mimi naamini ni maradhi, Nani ana uwezo WA kupenya ule ulinzi kwenda kumdhuru Amiri Jeshi? Tanzania hii hakuna ni mipango ya MUNGU.
mzee alikua na maadui wengi sanaa, amejitahidi sana. Hili li nchi sio kazi ndogo kulifumua, kuna mijitu mchanganyiko, michawi, mijambazi, mijizi, mipapeti, mifisadi, mira rushwa, misaliti, miuza madawa ya kulevya yote huyo iuiguse Itakua inakutafuta kwa njia mbalimbali ili kumalize.
 
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.

Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.

Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lisu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Ingekuwa hivyo mbona hata HAYATI asingefaa kuwa prezda rejea alionekana SAMUNGE KWA BABU KWENYE KIKOMBE.
 
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.

Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.

Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Usisahau na yule malaika alishajitaja kuwa yeye ni kichaa
 
Ni kweli kuwa TAL amefariki dunia na kwa hakika kama angepita kuwa Rais wa Tanzania basi angetugharimu kurudi kwenye uchaguzi mkuu kabla ya muda. Mungu alituepusha kwa kweli! Bora tulijiongeza na kuchagua vyuma watupu.
Au naongopa ndugu zangu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.

Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.

Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Lengo lako mabulla apimwe akili au nimeelewa tofauti
 
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.

Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.

Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Mbona una base kwa lissu. Zungumzia yule mgombea wa chama fulani aliytangulia maana na yeye hakuwa vizuri sana kiafya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.

Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.

Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.

Ni hayo machache.

Maendeleo hayana vyama!
Hoja yako ina ukweli, lakini inaweza kuwa inavunja katiba! Halafu tukiangalia mtu kama Magufuli, aligundulika kuwa na ugonjwa wa moyo mwaka 1993 kabla hajagombea nafasi yoyote ya kisiasa. Baada ya hapo aliendelea kufanya siasa kwa miaka takriban 30 ( precicely 28) bila kuteteleka. Nafikiri kinachotakiwa ni kuimarisha institution ya uraisi halafu katiba iandikwe upya kuwa na uwazi zaidi hasa katika muundo serikali baada rais aliyepo madarakani kufariki.

Kuna tatizo kuwa viongozi wasiokubaliana na rais aliyepo wanaweza kuplot na Makamu wa rais kumwua rais huyo kusudi wafanye mabadiliko ya muundo wa serikali wanayotaka wao; itakuwa ni vizuri sana katiba ikaweka wazi kuwa serikali iliyoachwa na rais aliyefariki akiwa madarakani itamilizia muhula wake mpaka uchaguzi ujao ila kuwa na mechanism nzuri ya kuwadhibiti wateule walioachwa na rais aliyefariki wasitumie nafasi zao vibaya.

Hii ya kusema rais amekufa hivyo sasa watu wake wote ondokeni tuunde serikali yetu mpya inaweza kuwa na unintended consequences. Katiba ya zamani ilikuwa inasema rais akifa basi uchaguzi mpya unafanyika. Sasa kwa vile hakuna makamu wa rais aliyekuwa ana uhakika kuwa uchaguzi mwingine ukifanyika atashinda, ilikuwa ni vigumu sana ku-collude naye kuhusu kumwua rais aliyeko madarakani. Sasa hivi makamu wa rais anajua kuwa rais akifa basi mimi nitachukua kiti na hilo siyo jambo zuri kwenye uhusiano kati ya rais na makamu wake.
 
Back
Top Bottom