Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

"...michawi, mijambazi, mijizi, mipapeti, mifisadi, mira rushwa, misaliti, miuza madawa ya kulevya..."
Asilimia 78 ya hayo uliyoyaandika hapo juu ndio sifa za mwenda futi sita chini.
 
"...michawi, mijambazi, mijizi, mipapeti, mifisadi, mira rushwa, misaliti, miuza madawa ya kulevya..."
Asilimia 78 ya hayo uliyoyaandika hapo juu ndio sifa za mwenda futi sita chini.
Tena wewe ni mmojawapo uliyefanya hayo.
 
Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na maandishi yake mitandaoni kuhusu taifa letu utabaini kabisa NEC wangekuwa na kitengo cha afya ya mwili na akili basi TAL asingepitishwa.
Ni kweli kabisa. Huyu zezeta hafai kushika nafasi yoyote ya uongozi, hata ubalozi. Kipengele cha sheria kinachosema mgombea 'awe na akili timamu' lazima kifatiliwe kwa njia ya upimaji
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Hayo Mambo ya ugonjwa mmeyaleta tena hamuoni mnakufuru?

Lissu angeweza kufanya mikutano non-stop bila kuletewa mizengwe!

Ila mgombea fulani alikua anapiga kampeni siku 2 mapumziko siku 6! Na kila atembeapo anakuwa na kipooza hewa sasa NEC hawakuyaona haya au wewe hukuona haya?
 
Mlisema Lowasa hawezi kumaliza miaka miwili ikulu mpk leo anadunda, Jiwe chali, Sitta, sijui nani?
 
Nafikiri yule mwingine alie jipima Afya kwa push up matokeo yake akapigwa short kwenye moyo kutoka na hitilafu ya umeme kwenye kifaa kilichofungwa ndani ya moyo wake.

Pengine asingefanikiwa kabisa kugombea japo kwa nafasi ya ubunge pengine nafikiri saivi angekua hajafa labda angekua anafundisha Kemia huko Ilemela
 
Wapime afya,wachunguze uraia, wachunguze tabia zilizojificha tusipate tabia zisizo za kitanzania.
 
Aliyepigwa risasi 32 bado yupo hai aliyeagiza apigwe ni hayati
Waliosema Lowasa ni mgonjwa wametangulia Hadi walipiga push up Kumdhihaki, wengine walienda chekup nje kwa kukaa sitini wakarudi kwenye buti ya mizigo ya ndege kama kifurushi.
Usiringie afya, utajiri, madaraka pia kuwa navyo sio ujanja au una akili Sana ni wakati tu Mungu kakupa.
 
Waanze kupimwa Madishi kwanza, kwa maana kama tunamuona Mwanri kuwa ni mzima basi hatari.
 
Wacha porojo zako bwashee
 
Lakini ngoyai bado ana dunda buheri wa afya kuliko wapiga push ups maana wameenda kutuandalia makao
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ akikujibu ni TAG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…