Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

Ni kweli kabisa. Huyu zezeta hafai kushika nafasi yoyote ya uongozi, hata ubalozi. Kipengele cha sheria kinachosema mgombea 'awe na akili timamu' lazima kifatiliwe kwa njia ya upimaji
Zezeta ni familia yako yoote
 
Mifumo yetu ya AFYA ni mibovu Sana unampatia RUSHWA daktari na unaandikiwa upo FIT!
 
Sure tunakopeshwa na MUNGU
 
Kazi ya Urais ilivyo ngumu na mikikimikiki mingi imagine jitu linagombea Urais wakati linajua kuwa lina moyo wa bandia!
 
Wewe bora uolewe na huyu Tundu Lissu,na umzalie mapacha watatu ili kiherehere chako kitulie. Wewe kuna mtu ulilenga kumtaja ila ukaona utumie jina la mumeo mtarajiwa kufikisha ujumbe.
 
Mwishowe tutakuja kusema wanaotoa maoni au kuandika kwenye mtandao wa kijamii wa JF wapimwe akili zao.
 
Wewe bora uolewe na huyu Tundu Lissu,na umzalie mapacha watatu ili kiherehere chako kitulie. Wewe kuna mtu ulilenga kumtaja ila ukaona utumie jina la mumeo mtarajiwa kufikisha ujumbe.
Lisu huyu huyu wa Robert Amsterdam?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…