LGE2024 Wagombea wa CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na vijiji ni vijana wasomi ukilinganisha na vyama vingine

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sema ina Vijana wengi wenye vyeti

Usomi ni Kitu kingine kabisa bwashee πŸ˜„πŸ˜„
 
Sema ina Vijana wengi wenye vyeti

Usomi ni Kitu kingine kabisa bwashee πŸ˜„πŸ˜„
gentleman,
bila kuwa na makaratasi huwezi kuitwa msomi.

wagombea uongozi vijanaa wasomi wa CCM, wote wana makaratasi ya kuthibitisha kwamba wamehitimu masomo ya kitaaluma ya elimu ya juu.

Kwenye hili hakuna ubishi, hakuna muujiza wala ushirikina πŸ’
 
Napitia fomu za hao unaowaita wasomi kwenye Mkoa X kuandika tu shida..... Errors kibaooo.....

Na endapo mngekaziwa kulinganisha majina ya Nida na fomu zenu nyie wasomi 50% msingetoboa.
anyway huenda ukawa sahihi gentleman,

kakini pia shukrani sana kwa kuwatambua vijana wasomi wa ccm licha ya dosari na kasoro unazodai kuzibaini kwenye fomu zao.

kwa kifupi tu ukiachilia mbali usomo wao, ccm imewapa fursa vijana kwenye uchaguzi huu kwa 100%.

na wazee wachache wa ccm, miongoni mwao ambao nao wamepata fursa ya kugombea uongozi katika maeneo machache sana mchuni, ni makini sana na wanaungwa mkono mno katika maeneo yao.

ccm ilijipanga vizuri sana gentleman
 
Katiba inasema awe anajua kusoma na kuandika, wasomi wanaenda huko vijijini kufanya nini, hayo ni matumizi mabaya ya rasmali watu.
 
Kabla ya hapo walikuwa wanafanya nini
 
Man watu wako field wanaona, hakuna mgombea mwenye nafuu, unless kama wa ccm wanatoea mbinguni ila kama wanatokea kwneye jamii zetu hali ni mbaya ni wale wale tofauti ni vyma
sasa wewe uko field na watu nyomi kama lote nchi nzima wanazindua kampeni za ccm, si utakuta kila kitu kimekwisha nov.27, gentleman?
 
Katiba inasema awe anajua kusoma na kuandika, wasomi wanaenda huko vijijini kufanya nini, hayo ni matumizi mabaya ya rasmali watu.
ccm ina vijana wasomi wazalendo amabao kwa kutumia elimu walizopata huko vyuo vikuu, hutumia kila fursa mijini na vijijini kwao,

kubuni, kuleta na kuchochea mabadiliko ya kijamii, kisiasa na kiuchumi katika maeneo yao.
 
Usicho kijua ni kuwa NINA KUFAHAMU VIZURI SANA,Mpaka ukoo wako wote.Ninafahamu Elimu yako (Huna degree mbili) ninajua vizuri kwanini uko CCM na nafasi yako uliyoahidiwa ninaijua.Ulifungua Kodi mwenyewe kwenye ule Uzi wa kugombea ubunge

HUNA LOLOTE NI NJAA TU NA UCHAWA .UKIZINGUA NAKUAABISHA SASA HIVI
 
ndiyo gentleman,
nilionekana kichaa kwenda kugombea ubunge kwa mara ya kwanza, mara tu baada ya kumaliza paper ya mwisho mwaka mwaka wa tatu chuo kikuu, huku nikiwa na laki5 tu mfukoni

uliza sasa ilikua mwaka gani? nilifaulu au sikufaulu mtanange huo?

niliowakuta humu JF tena ambao ndio mathink tank kwenye vyama vyao wakaishia kuniignore tu,
kwasababu wanashangaa huyu mujamaa amefanyafanyaje na laki tano tu, mpaka akakua poweful individual namna hii?


My friend ni kujipanga tu,
tafiti zangu zote zaidi ya mbili za kitaaluma kwa kiasi kikubwa kwa Neema na Baraka za Mungu, nimefanikiwa kupitia JF
 
Gentleman,
nazungumzia uchaguzi wa Nov 27,ambao kampeni zake tayari zimeanza leo na si vinginevyo πŸ’

Gentleman,
nazungumzia uchaguzi wa Nov 27,ambao kampeni zake tayari zimeanza leo na si vinginevyo πŸ’
Mwaka 2019 na 2020 baada ya kuwaengua wapinzani mlijitangaza "tumepata ushindi wa kishindo." Nadhani baada ya kuwaengua wapinzani wengi hata mwaka huu na pia mwakani mtajitangaza tena "tumepata ushindi wa kishindo". Lakini kwenye 'fair play' hammo kabisa!
 
Kumbe "usomi tupu" haukukusaidia? Na he, utawasaidia kweli hao "wasomi tupu" mliowaweka mwaka huu?
 
Yaani hana degrees mbili, halafu anasema ana zaidi ya degrees mbili? Watu bwana, ila "when theory doesn't fit the theory, ignore the theory".
 
Leo inakupa ugali utaongea yote. Kuna siku utasimama peke yako. Hakuna ugali lakini utakua na kilio. Chanzo Cha kilio kitakua CCM isiyo simamia haki. Utaikumbuka hii comment na namna mlivyoshinda chaguzi mbalimbali na mchango wako kwenye wizi. Utakua yupo Mungu aonae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…