Kwa maandishi wamejibu hawakumuekea pingamizi mgombea yeyote yule wa ACT wazalendo,huo au hayo yaliyojiri ni mzigo wao tume ya Taifa ya uchaguzi na sio wagombea wa CCM.
Sasa ninaloliona ni CCM kukimbia mauti maana Pemba hawacheki na mtu katika kutafuta haki yao,hawaogopi kauli za Tanzania ni nchi ya amani wala kauli za Baba wataifa alituachia nchi yenye utulivu na amani na inahitaji kulindwa zinazopendwa sana kutumiwa na wakuu wa polisi na wakuu wa CCM,wanasema wanaojificha chini ya kauli hizo watafute pa kwenda kuzitumia sio Pemba. kauli hizo zitafaa pale ambapo haki inatendeka.
Imekuwa ni kawaida wakuu wa polisi kumtaja Mwalimu Nyerere kwa kisingizio cha kulinda amani hawamsemi wala kumtaja kwa ajili ya kulinda haki,huyo Mwalimu Nyerere yupi wanaemtaja ?
Hivi hawa wakuu wa polisi huko kulinda kwao haki ndio wanaona wayafanyayo CCM ni sawa ? Kuenguliwa na kuondolewa wagombea kwa visa kama hivyo hapo wanategemea wananchi watulie kwa kuogopa kuvunja amani ? Tanzania nzima hakuna hata CCM mmoja alienguliwa na tume ya uchaguzi na zaidi utasikia Polisi mnatumika kusaidia kuengua na mnawaogopa CCM kama miungu yenu,inawezekana mkawaogopa kwa sababu ndio wanaowashusha na kuwapandisha vyeo,mmesahau kuwa nyinyi ni kwa ajili ya wananchi wote bila ya kujali itikadi zao za vyama kama kuetetea muwatetee wote. Kama hilo hamuliwezi basi hamfai kuwemo katika jeshi hilo,kinachosomeka ni kuwa nyinyi ni mapandikizi ya CCM ndani ya Jeshi hilo.
Watu kama nyinyi linapotokea la kutokea ndio wa mwanzo kukamatwa kwa kuwa ndio asasi inayotoa sapoti kubwa kwa CCM katika kipindi hiki cha uchaguzi,mnawasaidia bila kificho,ijapokuwa sio wote,kuna vipenzi vya Mungu hao hawana muhali na wanatekeleza majukumu yao ipasavyo,ingawa mwisho wake hukutwa na matatizo ya fitna.
Polisi haswa wakuu wa Polisi na iwe wapo hapo kama mapandikizi ya CCM au wamefikia hapo kwa weledi wao,ni bora muelewe sio polisi wote,wala usalama wote wala majeshi yote yanaishobokea CCM,wako wengine ni wapenzi wa vyama vingine na wapo wasio na upande wowote,wapo ndugu zao wapo upinzani na wao wanaliangalia zoezi hili la uchaguzi kwa kina na wanafuatilia kwa ukaribu kama walivyo wananchi wengine. Inakuwaje polisi anaefyetua risasi kwenye maandamano ya vyama vya upinzani inafikia anajulikana kwa jina ?
CCM walioandika barua kukana kuwa hayo mapingamizi yaliyotumia majina yao kuwa wao ndio walioandika na kuweka mapingamizi hayo wanastahili pongezi kubwa sana sana,wameonyesha uungwana wa kiwango cha juu na imani yao katika kupata haki kwa ridhaa za wananchi bila ya kusaidiwa na Chama kufanya udanganyifu.Wamekataa ushindi wa haramu maana mshahara atakaopata atakula yeye na familia yake kwa ushindi wa haramu itakuwa wanakula haramu kwa muda wote,sasa uharamu unawarudia waliotayarisha mapingamizi ya uwongo
Pemba will not surrender to CCM never.