BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Ushaambiwa wale ambao Baba au Mama zao ni Viwete, Marehemu na wapo kwenye mfuko wa mchongo wa kuitwa TASAF ndio wanaopewa mkopo, sasa wewe jitathmini km wewe huna hivyo vigezo na sio kiwete sahau kuhusu mkopo wa Bodi ya mikopoWewe baba yako kiwete?
Kuwa na kazi inayoeleweka ni kigezo muhimu,wapiga kura wasio na kazi watatafutiwa kazi na hao wanaoomba Uongozi.Utata wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, utata huu unatokana na kutotumia ubongo kuweka sawa kanuni huku wahusika wataka wasioridhika wakate rufaa! upotezaji muda.
Usiongee vitu huvijui wengi sana walipata mkopo na hawana hizo sifa ulizozitajaUshaambiwa wale ambao Baba au Mama zao ni Viwete, Marehemu na wapo kwenye mfuko wa mchongo wa kuitwa TASAF ndio wanaopewa mkopo, sasa wewe jitathmini km wewe huna hivyo vigezo na sio kiwete sahau kuhusu mkopo wa Bodi ya mikopo
Wewe kiwete?Usiongee vitu huvijui wengi sana walipata mkopo na hawana hizo sifa ulizozitaja
Baba yako kiwete?Wewe kiwete?
Kwahiyo mama na babu yako wasio na kazi ni wahuni! Baba yako umri qake si wakujiajiri wala kuajiriwa japo anahekima za kushika uongozi kwenye serikali ya mtaa ni muhuni! Na huko vijijini ambako wanawake na wsnaume wengi hawana ajira ni wahuni! Mimi nadhani wewe mwenyedharau ya kujiona umefanikiwa kimaisha ni muhuni, sasa na mimi mpigakura nisiye na ajira ni muhuni ila kura yangu si ya kihuni!Kuwa na kazi inayoeleweka ni kigezo muhimu,wapiga kura wasio na kazi watatafutiwa kazi na hao wanaoomba Uongozi.
Wacha ujinga hatutaki wahuni
Baba yako ndio mimi wewe kiwete?Baba yako kiwete?
Jibu swali kwanza weww mtoto wa viweteBaba yako ndio mimi wewe kiwete?
Chadema walishapewa jina la nyumbu kwa sababu ya matendo yao halafu eti wanajifanya wajuaji wakati uelewa wao ni zero kabisa.Chadema hawakulijua hili au ujinga wao tu
USSR
Lazima utaje unajasilia nnNi figisu tu kiongozi,Nilikuwa siamini ila Leo nimejionea live bila chenga!!!
Hapa Manzese kata ya midizini mgombea CCM kateuliwa ila wa vyama vingine hawajateuliwa eti wamekosa vigezo kwa kutoainisha shughuli zao ila ukingalia form zao wamejaza ni "wajasiria mali" wote kampuni ila Wa CCM aliyejaza "Mjasiriamali wa kuuza viatu" kapitishwa.
Wengine wamekosa vigezo kwa kuandika anagombea Uenyekiti badala ya "uenyekiti wa mtaa"
Hata upande wa nafasi za wajumbe wapinzani wameenguliwa kwa sababu hizo hizo.
Ukiwa na haki ya kupiga kura kwa kutimiza sharti la kikatiba la umri basi unayo haki ya kuchaguliwa, vinginevyo uchaguzi unaokwenda kinyume na katiba ya nchi ni batili.Lazima utaje unajasilia nn
Sasa ajira maalumu ndo ajira gani?Kama hauna ajira maalumu hauwezi kugombea.
Upewe ndani ya CCM kama walivyowapa watoto wao.Sasa ajira maalumu ndo ajira gani?
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...Uonevu tu
Hata siasa si ajira maalum, mbona wao wanagombea, wanapigiwa kura na wanatunga hizo kanuni? maana yake ni kwamba na wao waenguliwe maana siasa si ajira au kazi rasmi.Kama hauna ajira maalumu hauwezi kugombea.
Only politics can change AfricaKama huna muda wa kupoteza usihangaike na siasa za Afrika...
Chadema hawakulijua hili au ujinga wao tu
USSR