Ni figisu tu kiongozi,Nilikuwa siamini ila Leo nimejionea live bila chenga!!!
Hapa Manzese kata ya midizini mgombea CCM kateuliwa ila wa vyama vingine hawajateuliwa eti wamekosa vigezo kwa kutoainisha shughuli zao ila ukingalia form zao wamejaza ni "wajasiria mali" wote kampuni ila Wa CCM aliyejaza "Mjasiriamali wa kuuza viatu" kapitishwa.
Wengine wamekosa vigezo kwa kuandika anagombea Uenyekiti badala ya "uenyekiti wa mtaa"
Hata upande wa nafasi za wajumbe wapinzani wameenguliwa kwa sababu hizo hizo.