lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
Kipindi sio cha leo(live).kipindi kimehaririwa!Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Waliomsikiliza walimuelewa. Mada waliielewa. Kukosoa ni haki yako na haipunguzi kitu hapoWagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Wanasiasa mediocre Kama magufuli ndo wanatembea na mavitabu, lissu ni bright, vitu viko kichwani ,Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
sawa angalia unavyotumia nguvu kubwà utajinyeaHashindi
Ha ha ha haaaaaa;; hayooo kumbe jana yamemfuatilia pumbavuuu!! Dada una kichwa cha panzi, unafikri Lissu ni debe tupu kama lile guduria lenu? Jana kamwaga madini kama yalivyo kwenye ilani ya uchaguzi!!Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Milioni 29 waliojiandikisha kupiga kura ni CCM?Wala tume iko huru kabisa.
Lakini wakati nec imetangaza tarehe za watu kwenda kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura, chadema walihamasishana kwamba wasiende kwa kusema hawana muda mchafu,
Wakati huo wajumbe wa ccm walikuwa wanapita kila kaya kuhamasisha kina mama kwenda kujiandikisha.
Haya huyo Lisu atapigiwa kura na mawe?
hataki kura labdaWagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Hivi nyie mna vichwa gaaani? Hivi mtu unaposema atabadili mfumo wa elimu iwe elimu ya kumwongezea mtu maarifa, hiyo siyo sera hapo analalamika? Kazi kweli kweli! Ukweli CCM mmekamatika!kweli kabisa, yaani tatizo la Lissu haongei sera zake yeye kazi yake ni kulalamika tu
Kaka lissu hahitaji kujinadi kwenye TV huyo kashinda kwa kishindo maana mpinzani wake ambaye ni Magufili ni dhaifu sana,
Mahojiano yalifanyika kipindi anatafuta wazamini sio kipindi hiki cha kampeniWagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Hebu aeleze huo mfumo anaubadilishaje?Hivi nyie mna vichwa gaaani? Hivi mtu unaposema atabadili mfumo wa elimu iwe elimu ya kumwongezea mtu maarifa, hiyo siyo sera hapo analalamika? Kazi kweli kweli! Ukweli CCM mmekamatika!
Hiyo ni sera siyo sera?Hebu aeleze huo mfumo anaubadilishaje?
alfu elimu inatolewa na wataalamu wa elimu yeye anajuaje elimu inayofaa na ambayo haifai? au ataleta wataalamu wengine wa elimu wa sasa hawafai?
kashinda na njaa labdaKaka lissu hahitaji kujinadi kwenye TV huyo kashinda kwa kishindo maana mpinzani wake ambaye ni Magufuli ni dhaifu sana,
Mkuu,nimetoka kuyaangalia hayo mahojiano muda mfupi uliopita,nimeona jinsi mtangazaji Farhia akitikisa kichwa na tabasamu tele kuonyesha kukubaliana na kile anachokisema Mh. Lissu.Wewe ulimsikiliza Lissu kweli?
Kama ulimsikiliza basi unamatatizo ya ufahamu, na hii ndio shida ya wana CCM wengi sasa, kama sio wote. Poleni
Huo ni utani sio sera, ni sawa na mtu anakwambia mkinichagua mabomba yatatoa maziwaHiyo ni sera siyo sera?