Uchaguzi 2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Kipindi sio cha leo(live).kipindi kimehaririwa!
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Waliomsikiliza walimuelewa. Mada waliielewa. Kukosoa ni haki yako na haipunguzi kitu hapo

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Wanasiasa mediocre Kama magufuli ndo wanatembea na mavitabu, lissu ni bright, vitu viko kichwani ,
Magufuli alishindwa kwenda university straight fresh from school ilibidi apitie"mature entry"
 
Naskia yule wa Kijani Kibichi Alipigiwa Simu ahudhurie hicho kipindi, amewatolea Nje
 
Vijana Wa Lumumba ni mizigo ya misumari! Haibebeki bila kata kichwani. Akili hizi haziwezi kujua lipi linafaa na lipi halifai. Yupi anafaa na yupi hafai! Wapo kimazoea. Ndio maana dereva wao anawaamrisha wamchagulie wasaidizi wake hata kama si bora, ili mradi watokee tu"Ukijanini" ili wapitishe sheria za kipuuzi zinazowaumiza hao aliowabatiza jina la unyonge!
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Ha ha ha haaaaaa;; hayooo kumbe jana yamemfuatilia pumbavuuu!! Dada una kichwa cha panzi, unafikri Lissu ni debe tupu kama lile guduria lenu? Jana kamwaga madini kama yalivyo kwenye ilani ya uchaguzi!!
 
Wala tume iko huru kabisa.

Lakini wakati nec imetangaza tarehe za watu kwenda kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura, chadema walihamasishana kwamba wasiende kwa kusema hawana muda mchafu,
Wakati huo wajumbe wa ccm walikuwa wanapita kila kaya kuhamasisha kina mama kwenda kujiandikisha.

Haya huyo Lisu atapigiwa kura na mawe?
Milioni 29 waliojiandikisha kupiga kura ni CCM?
Nusu ya Watanzania ni CCM?
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
hataki kura labda
 
kweli kabisa, yaani tatizo la Lissu haongei sera zake yeye kazi yake ni kulalamika tu
Hivi nyie mna vichwa gaaani? Hivi mtu unaposema atabadili mfumo wa elimu iwe elimu ya kumwongezea mtu maarifa, hiyo siyo sera hapo analalamika? Kazi kweli kweli! Ukweli CCM mmekamatika!
 
andaa mdahalo umwalike na mgombea wenu wa CCM tuwapime sisi wananchi
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Mahojiano yalifanyika kipindi anatafuta wazamini sio kipindi hiki cha kampeni
 
Hivi nyie mna vichwa gaaani? Hivi mtu unaposema atabadili mfumo wa elimu iwe elimu ya kumwongezea mtu maarifa, hiyo siyo sera hapo analalamika? Kazi kweli kweli! Ukweli CCM mmekamatika!
Hebu aeleze huo mfumo anaubadilishaje?
alfu elimu inatolewa na wataalamu wa elimu yeye anajuaje elimu inayofaa na ambayo haifai? au ataleta wataalamu wengine wa elimu wa sasa hawafai?
 
Hiyo ni sera siyo sera?
 
Wewe ulimsikiliza Lissu kweli?
Kama ulimsikiliza basi unamatatizo ya ufahamu, na hii ndio shida ya wana CCM wengi sasa, kama sio wote. Poleni
Mkuu,nimetoka kuyaangalia hayo mahojiano muda mfupi uliopita,nimeona jinsi mtangazaji Farhia akitikisa kichwa na tabasamu tele kuonyesha kukubaliana na kile anachokisema Mh. Lissu.
Binafsi naamini kile kipindi kimeonyesha dhahiri shahiri jinsi gani Tanzania ilivyo na ombwe la kiongozi mkuu.
Lissu kaonyesha uwezo wake mkubwa wa uongozi kwa kuweza kuyaelezea kwa ufanisi matatizo ya msingi ya nchi yetu na jinsi ya kuyatatua kimaarifa na kiufanisi.
 
Back
Top Bottom