lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,920
- 3,388
Kipindi sio cha leo(live).kipindi kimehaririwa!Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lusu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote
Pili Lisu alitoka bila kusema watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondioka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura