Uchaguzi 2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

Magu na Hard talk??😛😛
 
Ha ha ha haaaaaa;; hayooo kumbe jana yamemfuatilia pumbavuuu!! Dada una kichwa cha panzi, unafikri Lissu ni debe tupu kama lile guduria lenu? Jana kamwaga madini kama yalivyo kwenye ilani ya uchaguzi!!
Ilani ya uchaguzi ndio inasema mtafuga mbugani!
 
Kaka lissu hahitaji kujinadi kwenye TV huyo kashinda kwa kishindo maana mpinzani wake ambaye ni Magufuli ni dhaifu sana,
Kwa hiyo.kwenye TV nani alimpeleka kama hana haja ya kujinadi huko?
 
Pale pimbi anapomfundisha samaki kuogelea majini
 
Delaying tactics.

Magu anachotaka kufanya Ni kuchelewesha miradi ili apewe 'muhula' mwingine Kama zawadi.Hizi mbinu wanatumia Marais wengi 'walafi' wa madaraka.

Na ndio sababu Kuna 'vibaraka' wake wanahitaji aendelee kutawala kwa kisingizio cha mabarabara.

Pathetic!
 
Pole unachekesha na kutia huruma.
Mgombea wako mwambie siku hiyo atangulize wacheza shoo halafu aje na kikundi cha mapambio.
 
Sera ni nini ?; huenda watu tunadhani Sera ni kajitabu kalikoandikwa sera....

Kumbe hata wewe hapa huenda una Sera zako ambazo ni kuendelea propaganda zako kwa watu tofauti (as they say uongo ukirudiwa rudiwa mwishowe huaminika)
 
Nadhani uelewa wako unatatizo
 
Minjozi mingine itakupa tabu na kukufanya ukonde bure ndugu yangu.
Freedom is coming tommorow. Amen
 
Shida ya kuwa na elimu ndogo ndo hii, mtanzania gani hajui Lissu anagombea uraisi Tanzania na anahitaji kura? hayo waambie ccm wenziyo ambao ufikiri ni finyu.
Majibu kama haya, ndiyo yaliyomfanya Lissu avuliwe ubunge na kushindwa rufaa yake - eti kila mtu duniani anajua nilipigwa risasi! Hivyo sina haja ya officially kumuarifu spika wa bunge nilipo! Majibu hayo ndiyo yanafanya wagombea wa vyama vya upinzani waenguliwe - wanafanya kutojali hata katika kujaza form! - eti siwanajua nimeisha pendekezwa na chama changu! Ni dhana hiyo hiyo ilimfukuzisha ubunge Nasari. Kwa hiyo ukubali Lissu hakutaja ilani ya Chama chake ipasavyo na hakuomba kura.
 
Mungu hapokei rushwa
 
Jinga kwenye ubora wake, linafikiii

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…