Jiwe akihojiwa kwenye TV yeyote na mtangazaji yeyote (hata akiwa wa SIBUKA) itakuwa ni aibu ya mwaka kwa pumba atazotema. Refer mara ya mwisho kapigwa maswali na press serious kule Uganda, ilikuwa aibu tupu, hadi M7 akawa anaingilia kati. Na mara ya mwisho hapa TZ kuongea na press akaishia tu kusema Mayalla kwao maana yake njaa. Kifupi mkuu mwenyekiti wenu uelewa wake una mashaka sana. Na hawezi kuomba kuhojiwa na press hata siku moja, labda ajirekodi akiongea uongo wake then press warushe. Hata Lowassa na afya yake mgogoro anamshinda, 2015 alipiga interview na press Makini sana BBC Swahili. Hebu wewe hapo assume tu Magu anahojiwa kwenye Hardtalk ya BBC!!!!