Uchaguzi 2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

Uchaguzi 2020 Wagombea wengine mkienda kuhojiwa na Media msifanye kosa kama la Tundu Lissu, hakwenda na sera na hakuomba kura

Jiwe akihojiwa kwenye TV yeyote na mtangazaji yeyote (hata akiwa wa SIBUKA) itakuwa ni aibu ya mwaka kwa pumba atazotema. Refer mara ya mwisho kapigwa maswali na press serious kule Uganda, ilikuwa aibu tupu, hadi M7 akawa anaingilia kati. Na mara ya mwisho hapa TZ kuongea na press akaishia tu kusema Mayalla kwao maana yake njaa. Kifupi mkuu mwenyekiti wenu uelewa wake una mashaka sana. Na hawezi kuomba kuhojiwa na press hata siku moja, labda ajirekodi akiongea uongo wake then press warushe. Hata Lowassa na afya yake mgogoro anamshinda, 2015 alipiga interview na press Makini sana BBC Swahili. Hebu wewe hapo assume tu Magu anahojiwa kwenye Hardtalk ya BBC!!!!
Magu na Hard talk??😛😛
 
Ha ha ha haaaaaa;; hayooo kumbe jana yamemfuatilia pumbavuuu!! Dada una kichwa cha panzi, unafikri Lissu ni debe tupu kama lile guduria lenu? Jana kamwaga madini kama yalivyo kwenye ilani ya uchaguzi!!
Ilani ya uchaguzi ndio inasema mtafuga mbugani!
 
Kaka lissu hahitaji kujinadi kwenye TV huyo kashinda kwa kishindo maana mpinzani wake ambaye ni Magufuli ni dhaifu sana,
Kwa hiyo.kwenye TV nani alimpeleka kama hana haja ya kujinadi huko?
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lissu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lissu alitoka bila kusema Watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondoka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Pale pimbi anapomfundisha samaki kuogelea majini
 
Nchi tajiri iko wapi? Mbona hayo ma SGR na mabarabara hayajakamilika? Kwa mfano barabara ndogo ya Mwenge -Morocco anaijenga kuanzia December 2015 alipochukua hela za sherehe kwa sifa za KIJINGA mpaka leo inajengwa tu.

Barabara ya Ubungo- Kibamba toka amebomoa nyumba za watu mwaka 2016 ametujazia diversions za mawe na mapipa.

Angalia pale Gerezani kuanzia 2017 wanasema wanajenga SGR ya umeme kwenda Morogoro, Je ukipata unaona nini?
Delaying tactics.

Magu anachotaka kufanya Ni kuchelewesha miradi ili apewe 'muhula' mwingine Kama zawadi.Hizi mbinu wanatumia Marais wengi 'walafi' wa madaraka.

Na ndio sababu Kuna 'vibaraka' wake wanahitaji aendelee kutawala kwa kisingizio cha mabarabara.

Pathetic!
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lissu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lissu alitoka bila kusema Watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondoka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Pole unachekesha na kutia huruma.
Mgombea wako mwambie siku hiyo atangulize wacheza shoo halafu aje na kikundi cha mapambio.
 
Sera ni nini ?; huenda watu tunadhani Sera ni kajitabu kalikoandikwa sera....

Kumbe hata wewe hapa huenda una Sera zako ambazo ni kuendelea propaganda zako kwa watu tofauti (as they say uongo ukirudiwa rudiwa mwishowe huaminika)
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo.Lissu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote

Pili Lissu alitoka bila kusema Watanzania nawaombeni kura zenu.Aliondoka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe hakuomba kura
Nadhani uelewa wako unatatizo
 
Mlihamasishana msiende kuboresha taarifa zenu kwenye daftari la mpiga kura wakati nec imetangaza!

Huyo Lisu wenu atapigiwa kura na mawe?

Hao wapiga kura mili 29 wote robo tatu mzima ni wana ccm maana wajumbe wao walihamasisha kupitia nyumba kwa nyumba,

Mwaka huu Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura.
Minjozi mingine itakupa tabu na kukufanya ukonde bure ndugu yangu.
Freedom is coming tommorow. Amen
 
Shida ya kuwa na elimu ndogo ndo hii, mtanzania gani hajui Lissu anagombea uraisi Tanzania na anahitaji kura? hayo waambie ccm wenziyo ambao ufikiri ni finyu.
Majibu kama haya, ndiyo yaliyomfanya Lissu avuliwe ubunge na kushindwa rufaa yake - eti kila mtu duniani anajua nilipigwa risasi! Hivyo sina haja ya officially kumuarifu spika wa bunge nilipo! Majibu hayo ndiyo yanafanya wagombea wa vyama vya upinzani waenguliwe - wanafanya kutojali hata katika kujaza form! - eti siwanajua nimeisha pendekezwa na chama changu! Ni dhana hiyo hiyo ilimfukuzisha ubunge Nasari. Kwa hiyo ukubali Lissu hakutaja ilani ya Chama chake ipasavyo na hakuomba kura.
 
Polee sana kilaza Yehodaya. Kwa uwezo aliouonesha Lissu kwenye kipindi cha dk 45 Jana najua ni lazima mchanganyikiwe. Nakuelewa kwa kweli kwa huu ujinga ukioleta humu, ni lazima mchanganyikiwe. Lissu kabadirisha mawazo ya watanzania wengi sana jana. Na ni ukweli anaenda kupata kura nyingi sana za kumuingiza Ikulu mwaka huu hapo tarehe 28 October. Maombi yangu ni kuwa Mungu ambariki na amwezeshe kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 kwa Jina Lake Takatifu Yesu Kristo. Amina!
Mungu hapokei rushwa
 
Wagombea mkienda kuhojiwa vitu vya Television mwende na summary ya sera zote ukiulizwa sera some kwenye summary yako chapchap taja zote haraka imo kumpa nafasi mwandishi kukuhoji kwenye Hayo maeneo. Lissu alienda mikono mitupu anadhindea kutaja zote.

Pili, Lissu alitoka bila kusema Watanzania nawaombeni kura zenu. Aliondoka tu utafikiri anaandoka kwenye kikao cha harusi ya mkwewe, hakuomba kura.
Jinga kwenye ubora wake, linafikiii

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom