Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Hujui....hutuba ya jana ya PJM imewatibua sana wabaya wa Taifa! .....sijui.....kama wagonjwa wamekimbia hospitali, mbona hata hakuna picha ya udhibitisho, bali tunaona picha za majengo tu!!
 
Hujui....hutuba ya jana ya PJM imewatibua sana wabaya wa Taifa! .....sijui.....wagonjwa wamekimbia hospitali hata hakuna picha ya udhibitisho, bali tunaona picha za majengo tu!!
 
dah. hii ni hatari..
 
Kuna kitu kinaendelea sio bure, ila najua kila jambo linalofanywa kwa siri kuna siku litawekwa hadharani
 
Hiyo ni kweli na wanalalamika wagonjwa wanajifia tu hakuna huduma aisee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Safi sana. Wanarudi nyumbani kujivukiza kwa maelekezo ya bichwa baya
 
kwani watu wakifa wewe unadhurika nini?
ACHA WAFE .
WEWE JILINDE..
Mbona unaumia na vitu ambavyo viko natural.
yaani lazma watu lwazaliwe na lazma watu WAFE.
Kwa wehu wa hii nchi, na hapo bado. Maiti zitapanga msululu barabarani maana hata wanajeshi anaojivunia watapukutika na kuogopa kuziokota. UNLESS TUNABADILISHA HUU UHUNI WA KU HANDLE HII CATASTROPHE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ujinga kwenye masuala serious! Huenda huyo aliyetoroka ndiye akaja kumwambukiza bibi yako,mama yako au ndugu yako!
Amna...hawezi kuambukizwa huyo ni mtoto wangwajima
 
Hivi vyeo vya DC na RC vimekuwa takataka kabisa sasa hivi.

Hana taarifa maana yake? Hajatafuta, hajapewa au hataki kujua? DC ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya, anakosaje taarifa? Mbona CHADEMA wakitaka kuandamana, wanapata taarifa za "intelejensia", wameshindwa kujua kama wagonjwa wametoroka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…