Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni propaganda nyingine tu zisizo na tija kwa jamii, Haiingilii akilini habari kama hii ikose hata uthibitisho wa Picha ya geti lililovunjwa...
Habari kama hizi ni za kupuuza, maana zimejaa chuki na kutia hofu watanzania..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui....hutuba ya jana ya PJM imewatibua sana wabaya wa Taifa! .....sijui.....kama wagonjwa wamekimbia hospitali, mbona hata hakuna picha ya udhibitisho, bali tunaona picha za majengo tu!!Hizi ni propaganda nyingine tu zisizo na tija kwa jamii, Haiingilii akilini habari kama hii ikose hata uthibitisho wa Picha ya geti lililovunjwa...
Habari kama hizi ni za kupuuza, maana zimejaa chuki na kutia hofu watanzania..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui....hutuba ya jana ya PJM imewatibua sana wabaya wa Taifa! .....sijui.....wagonjwa wamekimbia hospitali hata hakuna picha ya udhibitisho, bali tunaona picha za majengo tu!!Hizi ni propaganda nyingine tu zisizo na tija kwa jamii, Haiingilii akilini habari kama hii ikose hata uthibitisho wa Picha ya geti lililovunjwa...
Habari kama hizi ni za kupuuza, maana zimejaa chuki na kutia hofu watanzania..
Sent using Jamii Forums mobile app
dah. hii ni hatari..Na jamaa yangu yupo karibu na Amana anasema wagonjwa hakuna kilichokua kinaendelea walio kua taaban hakuna oxygen manesi wanawapea dawa dirishani wengine wanaombwa pesa wakanunuliwe dawa wameona bora wakajitibu nyumbani hakuna kinachoendelea hospital
Wamefika getini walinzi wakataka kuwazui wakawaambia tunawaambukiza walinzi wakakimbia na wao wakatoka
Ukweli ni aibu kwa serekali mi najiuliza inamana hawa wahudumu wa afya wakati wenzetu wanahangaika huku hawakuwekwa semina namana ya kuwahudumia hawa wagonjwa
Mpaka inafikia hatua ya wagonjwa kutoroka walikua wananyanyapaliwa wanaogopwa na wahudumu ukweli sielewi kama serekali walijipanga
Najiuliza Wazir mwenye zamana anatosha kweli kwa haya yanayotokea
Ninacho fikir ni kwamba inawezekana hata wahudum wa afya wakawa hawana vitendea kazi inatisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwa kama nyinyi mnatakiwa msiwepo hapa dunianiHizi ni propaganda nyingine tu zisizo na tija kwa jamii, Haiingilii akilini habari kama hii ikose hata uthibitisho wa Picha ya geti lililovunjwa...
Habari kama hizi ni za kupuuza, maana zimejaa chuki na kutia hofu watanzania..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaenda kujifukizia
Kwa wehu wa hii nchi, na hapo bado. Maiti zitapanga msululu barabarani maana hata wanajeshi anaojivunia watapukutika na kuogopa kuziokota. UNLESS TUNABADILISHA HUU UHUNI WA KU HANDLE HII CATASTROPHE
Hao ni mamia tu, je tukifunga nchi nzima watu mamilioni itakuwaje? Nawaza tu.Kufungiwa si mchezo
Amna...hawezi kuambukizwa huyo ni mtoto wangwajimaAcheni ujinga kwenye masuala serious! Huenda huyo aliyetoroka ndiye akaja kumwambukiza bibi yako,mama yako au ndugu yako!