Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

Duh!

Hali tete sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ugonjwa wa kutaka uthibitisho na ushahidi kwa kila kitu ni ugonjwa mpya katika Jukwaa hili.Mfano kama mtu aliyeleta hii taarifa ni mmoja wa waliotoroka apige picha mwisho akamatwe?.Tushirikishe hakili zetu vizuri kabla ya kuomba ushahidi au uthibitisho kwenye post.
Mtu anayetoroka naye siku hizi anapiga picha makubwa haya.
 
Mleta taarifa huyo huyo nae ka comment mara kibao anauliza kama habali ni za kweli, sasa aliandika vipi bila kwenda kuangalia kisha ndo aje kuandika, hum kuna wazushi sana , mpaka ifike October mutaandika mpaka bongo zenu zifumuke.
 
Bila ushahidi picha Nk Ni chai isiyo na kitafunwa
 
Mleta taarifa huyo huyo nae ka comment mara kibao anauliza kama habali ni za kweli, sasa aliandika vipi bila kwenda kuangalia kisha ndo aje kuandika, hum kuna wazushi sana , mpaka ifike October mutaandika mpaka bongo zenu zifumuke.
Imepostiwa Instagram kakopi na kupesti
 
Tumeishaaaaa, tumeishaaaa, tumeishaaaaa, nawaambieni tumeishaaaa. πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏπŸ™†πŸΏ
NA UTAISHA KWELI, MANENO UUMBA, adui yako mkubwa ni woga, woga, woga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…