Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #41
Me kama Muha wa kigoma naomba Paul Kagame atuchukue tu[emoji855],,CCM wakitoka madarakan aturudishe TZ.
Unaruhusiwa kwenda uone kama utaweza hata kutoka ukiingia humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me kama Muha wa kigoma naomba Paul Kagame atuchukue tu[emoji855],,CCM wakitoka madarakan aturudishe TZ.
Hata wachaga wa romeo wanaendagaMkuu umeshafika Kigoma? Warundi wametapakaa huko wakifanya vibarua vya kulima mashamba n.k. Waha wanawawatania kuwa ndiyo matrekta yao.
Omurushaka, Kayanga, Nkwenda, Kaisho, Kyerwa
Ngara
Ndio maana mr slim mizuka yake ikipanda huwa anapiga mkwara kigoma ni sehemu yao na ipo siku akiamua kuliamsha dude hatasita kufanya hivyo kuichukua sehemu hiyo.
Waha na Wahutu ni wale wale tu. Migawanyiko ya ukoloni ndio imesababisha yote hayo. Ni sawa na Watusi na Wahangaza wa Ngara.
Wakigoma wengi wana ujamaa na warundiUnaweza ukatupatia ushahidi kama kuna siku alidai eneo la kigoma ni lake??
Kigoma iko karibu na burundi kuliko rwanda
View attachment 2810783
Hiyo kigoma yote muirudishe rwanda,Burundi na kongo
Ova
Na akina Mpangokwahiyo kina zitto ni wanyarwanda?
Itoeni kigoma watz si wanawambiaga watu kigoma warundi...
Ova
Pia wapo India...Wajaluo wako mpaka Sudan,na West afrika
Ova
Nafikiri hayo ni majina ya maeneo. Mfano, Omurshaka ni kituo cha daladala ya magari ya kwenda, sijui Benaco? Nakumbuka, miaka ya hivi karibuni nilipokuwa Karagwe, nilipandia gari hapo stendi ya Omurshaka hadi Benaco (kama sijakosea), kisha gari jingine hadi Ngara.Hiki ni kilugha gan mkuu,,, mbona lugha hii unaielewa ww na wenzio tu
Sasa kwanini watu wa kigoma utasikiaWe n mkenya??
Soon Zitto Kabwe atalikana kabila lake
Sasa kwanini watu wa kigoma utasikia
Wanaambiwa nyie ni warundi tu
[emoji1] huoni kama tunaitoa kigoma wenyewe
Ova
Maneno kama hayo PK aliyatamka alipo kwenda mtembelea MAMADOU DOUMBYA ila hakutaja maeneo ya TZ nadhani safari hii amemtuma ofisa wake akayaseme.
warundi pia wanaongea lugha ileile ya rwanda. hivyo inawezekana ni kweli, watu wote wa burundi, rwanda, kigoma ni walewale tu ila hiyo haimaanishi kwamba ni wanyarwanda, kwasababu makabila yote ya mipakani yapo pande zote mbili za nchi zilizoko mipakani. hao wameru wa arusha na wamasai hata kenya wapo hivyo hivyo, hao kina mwita hata kenya wapo kwa majina na tamaduni hizo hizo, hao wajaluo, hao wahaya na uganda wanaendana vilevile, hao wanyasa wa malawi na wanyasa wa tanzania ni wale wale hadi kuna kipindi wanyasa wa malawi walikuwa wanataka kujitoa malawi wawe watanzania kwa sababu wanatengwa, wamakonde wapo msumbiji na mtwara, na wayao pia, wazigua wapo tanga na kenya pia. wachaga na wakenya wametenganishwa na mlima tu. kwahiyo kama yeye anasema kigoma ni rwanda hata sisi tuna haki kusema Rwanda ilikuwa Tanzania na tunaweza kuichukua kama vipi.