Hivi vibabu vinawafelisha makusudi ili wasifikie required qualificationsVyuo vikuu vyetu,viwe na utaratibu wa kuandaa wataalaam /vijana watakaochukua Majukumu ya maprofesa wanao tarajiwa kustasfu (Succession plan).
Maprofesa wameongezewa umri wa kustaafu.kutoka miaka 60 mpaka 65 lakini bado,wanashindwa kuwatayarisha vijana wa kuwakabidhi Majukumu yao muda wa kustaafu unapofika,wanajiumiza na kazi au la wanatumia notes za kizamani,zilizopitwa na wakati kufundishia
Wewe ni mvivu husomi. Mbona wengine wanafaulu kwa kufundishwa na hao hao experienced professors unaowaita vibabu. Huna adabu wewe.Kuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA akibebee vitabu, vingine vinajigamba eti katika somo lake hawajawahi kugraduate watano, wakijitahidi sana watatu. Kama sio kuvunjana moyo ni nini?
Ukweli, hivi vibabu ndio vikwazo vya uimara wa elimu yetu, basi vikikutana na wanafunzi wa masters ni shida kina hakikisha akigraduate hana hamu yakuendelea kukaa chuoni. Uwekwe utaratibu mtu akistaafu akalime sio kubaki chuoni kurandaranda.
Hakuna kitu kama hicho. Wewe ushinde WhatsApp halafu ufaulu kirahisirahisi tu. Hiyo itakuwa elimu au kupeana degree tu.Hivi vibabu vinawafelisha makusudi ili wasifikie required qualifications
Kadisco huyo dogo ndio maana kaamka na kuwashambulia emeritus professors wetu.Kwani umedisco?
Hii naungana nawe. Japo si wote,wengi ni wajinga tena wenye roho mbaya. Nakumbuka wenzetu Makerere huwaita PhD or Pull Him/Her Down profs. Hata hivyo, msikonde, vitakufa kimoja hadi kingine. Hivi ndivyo vinakwamisha vijana wetu. Utajifisiaje kufelisha wakati Ulaya au Marekani ikitokea hivyo unachunguzwa na kupewa onyo. Nadhani vyuo vyetu vijenge utaratibu wa kutathminiana ambapo wanafunzi, anonymously wanamuevaluate prof na prof anawaevaluate.Kuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA akibebee vitabu, vingine vinajigamba eti katika somo lake hawajawahi kugraduate watano, wakijitahidi sana watatu. Kama sio kuvunjana moyo ni nini?
Ukweli, hivi vibabu ndio vikwazo vya uimara wa elimu yetu, basi vikikutana na wanafunzi wa masters ni shida kina hakikisha akigraduate hana hamu yakuendelea kukaa chuoni. Uwekwe utaratibu mtu akistaafu akalime sio kubaki chuoni kurandaranda.
Mbona wakienda kusoma nje ya nchi wanafaulu vizuriHakuna kitu kama hicho. Wewe ushinde WhatsApp halafu ufaulu kirahisirahisi tu. Hiyo itakuwa elimu au kupeana degree tu.
Nikusaidie tu, hiyo tathmini inafanyika mbona. Halafu huna adabu, umewakashfu wazee. Hao retired professors wapo hata ulaya. Tena huitwa professor emeritus. Wako very resourceful, vinginevyo na wewe ni kilaza unayetaka kupasishwa bila kutoka jasho.Hii naungana nawe. Japo si wote,wengi ni wajinga tena wenye roho mbaya. Nakumbuka wenzetu Makerere huwaita PhD or Pull Him/Her Down profs. Hata hivyo, msikonde, vitakufa kimoja hadi kingine. Hivi ndivyo vinakwamisha vijana wetu. Utajifisiaje kufelisha wakati Ulaya au Marekani ikitokea hivyo unachunguzwa na kupewa onyo. Nadhani vyuo vyetu vijenge utaratibu wa kutathminiana ambapo wanafunzi, anonymously wanamuevaluate prof na prof anawaevaluate.
Vina uhusiano gani na vibabu kuongezewa muda kwani vijana hamna? Mbona serikalini madaktari wanastaafu na kuondoka, iweje mwalimu wa history isistaafu na kuondoka chuoniKadisco huyo dogo ndio maana kaamka na kuwashambulia emeritus professors wetu.
Hakuna uhusiano kati ya kuongezewa muda au kuajiriwa kwa mkataba na wanafunzi kushindwa kupata masters na Ph.D. Katika vyuo vyote vikuu TZ mamia ya wanafunzi wanapata masters na Ph.D. na kuna wachache wanaofeli. Mpaka sasa vyuo vingi vina mahitaji ya maprofessor wenye Ph.D. makubwa sana. Ndiyo maana vyuo vingi vinawaongezea muda wanaofikisha umri wa kustaafu.Nikusaidie tu, hiyo tathmini inafanyika mbona. Halafu huna adabu, umewakashfu wazee. Hao retired professors wapo hata ulaya. Tena huitwa professor emeritus. Wako very resourceful, vinginevyo na wewe ni kilaza unayetaka kupasishwa bila kutoka jasho.
Si kweli, evaluation inayofanyika ni ya kizamani. Pia, nimesema wazi kuwa si wote. Professor emeritus wapo ila hawafelishi kama alivyosema mleta hoja. Ni bahati mbaya sikusomea hivyo vyuo vyetu vya nyumbani. Ni free thinker ambaye amenufaika na vyuo huru visivyo na ujinga aliotaja mleta hoja kuwa watu wanajifisia kufelisha. Kama wewe ni mmojapo pole sana kaka yangu. Mie si kilaza. Ni msomi wa haja na nimechapisha sana tu. Acheni roho mbaya basi mheshimike.Nikusaidie tu, hiyo tathmini inafanyika mbona. Halafu huna adabu, umewakashfu wazee. Hao retired professors wapo hata ulaya. Tena huitwa professor emeritus. Wako very resourceful, vinginevyo na wewe ni kilaza unayetaka kupasishwa bila kutoka jasho.
Tunalalamika elimu yetu imekuwa duni halafu kuna kibabu kinafundisha education qualities na
Usomi wako nautilia shaka hata kama una machapisho. Iweje umuamini huyo dogo kirahisi ati watu wanafelishwa. Usitutishe na vyuo vya nje kwani hata sisi tumesoma huko bwana ebo!Si kweli, evaluation inayofanyika ni ya kizamani. Pia, nimesema wazi kuwa si wote. Professor emeritus wapo ila hawafelishi kama alivyosema mleta hoja. Ni bahati mbaya sikusomea hivyo vyuo vyetu vya nyumbani. Ni free thinker ambaye amenufaika na vyuo huru visivyo na ujinga aliotaja mleta hoja kuwa watu wanajifisia kufelisha. Kama wewe ni mmojapo pole sana kaka yangu. Mie si kilaza. Ni msomi wa haja na nimechapisha sana tu. Acheni roho mbaya basi mheshimike.
Oncogene vyuoni mziachie damu changa, mbona kwa Prof janabi kuna vijana wadogo wanaukongoroa moyo na kuurudishia, uweje vijana washindwe kufundisha archeology?Usomi wako nautilia shaka hata kama una machapisho. Iweje umuamini huyo dogo kirahisi ati watu wanafelishwa. Usitutishe na vyuo vya nje kwani hata sisi tumesoma huko bwana ebo!