- Thread starter
- #21
Eh, wakalimeUtu uzima dawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh, wakalimeUtu uzima dawa!
Anataka vijana maana huwa wanatoa degree za Pichu hivi vibabu hayo mambo havina.Wewe ni mvivu husomi. Mbona wengine wanafaulu kwa kufundishwa na hao hao experienced professors unaowaita vibabu. Huna adabu wewe.
Hivyo vibabu ndio vinapenda Chuchu nomaAnataka vijana maana huwa wanatoa degree za Pichu hivi vibabu hayo mambo havina.
Soma wewe acha ujinga, humo darasani uko peke yako? Hao retired wako vizuri hata Mimi nilifunishwa na mmoja retired alikuwa anamwaga madini kwelikweli.Vina uhusiano gani na vibabu kuongezewa muda kwani vijana hamna? Mbona serikalini madaktari wanastaafu na kuondoka, iweje mwalimu wa history isistaafu na kuondoka chuoni
Kwahiyo vijana wakajiajiri na PhD zao?Soma wewe acha ujinga, humo darasani uko peke yako? Hao retired wako vizuri hata Mimi nilifunishwa na mmoja retired alikuwa anamwaga madini kwelikweli.
Havina uwezo huo kwenye 6*6. 65 yrs hawezi kuchukua visichana tungesikia vimefia Gest.Hivyo vibabu ndio vinapenda Chuchu noma
Kwani wote wenye PhD Ni ma lecturer? Wengine Wana PhD Ni wachungaji masheikh wakurugenzi nk. Siyo Kila PhD ana gualify kuwa lecturer.Kwahiyo vijana wakajiajiri na PhD zao?
Wee, vinapiga show usiseme, kuna kile cha NIT kilikamatwa na takukuruHavina uwezo huo kwenye 6*6. 65 yrs hawezi kuchukua visichana tungesikia vimefia Gest.
Kwahiyo wakistaafu waendelee tu, wamekuwa makadinaliKwani wote wenye PhD Ni ma lecturer? Wengine Wana PhD Ni wachungaji masheikh wakurugenzi nk. Siyo Kila PhD ana gualify kuwa lecturer.
Una uhakika vinapiga show usiseme? Asimuliae mvua.....Wee, vinapiga show usiseme, kuna kile cha NIT kilikamatwa na takukuru
Kwani alikuwa mstaafu?Kuna kimoja pale chuo cha usafirishaji kiliwekewa mtego na takikuru kikanaswa kikipapasa kalio
Kuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA akibebee vitabu, vingine vinajigamba eti katika somo lake hawajawahi kugraduate watano, wakijitahidi sana watatu. Kama sio kuvunjana moyo ni nini?
Ukweli, hivi vibabu ndio vikwazo vya uimara wa elimu yetu, basi vikikutana na wanafunzi wa masters ni shida kina hakikisha akigraduate hana hamu yakuendelea kukaa chuoni. Uwekwe utaratibu mtu akistaafu akalime sio kubaki chuoni kurandaranda.
Umejuaje ni dogo na kwanini niunge au kupinga mtu kwa sababu ya umri? Tuangalie ukweli. Je vijana hawafelishwi? Namkumbuka mmoja aitwaye Josephat Kanywanyi alitaka kunifelisha kwenye mtihani wa evidence simply because alisikia wanafunzi wenzangu wakiniita professor wakati nilikuwa mwanafunzi.Usomi wako nautilia shaka hata kama una machapisho. Iweje umuamini huyo dogo kirahisi ati watu wanafelishwa. Usitutishe na vyuo vya nje kwani hata sisi tumesoma huko bwana ebo!
Kazi kubwa za wahadhiri wa vyuo vya juu ambavyo vinatoa stashahada na shahada ni kufanya 'lecture, research & consultation". Mimi nafikiri wahadhiri waliokwisha kustaafu uzoefu na umahiri wao ungetumika katika eneo la utafiti na ushauri zaidi ya kuendesha mafunzo ya kitaaluma.Kuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA akibebee vitabu, vingine vinajigamba eti katika somo lake hawajawahi kugraduate watano, wakijitahidi sana watatu. Kama sio kuvunjana moyo ni nini?
Ukweli, hivi vibabu ndio vikwazo vya uimara wa elimu yetu, basi vikikutana na wanafunzi wa masters ni shida kina hakikisha akigraduate hana hamu yakuendelea kukaa chuoni. Uwekwe utaratibu mtu akistaafu akalime sio kubaki chuoni kurandaranda.
Ha ha hakika nimecheka sanaKuna vibabu vilishastaafu vikavuta mafao vikala vikamaliza bado vikarudi kupiga lecture jamani ni kero, sio kutisha watu huko vinatumia mifumo ya zamani. Kuna vingine haviingii darasani hadi TA akibebee vitabu, vingine vinajigamba eti katika somo lake hawajawahi kugraduate watano, wakijitahidi sana watatu. Kama sio kuvunjana moyo ni nini?
Ukweli, hivi vibabu ndio vikwazo vya uimara wa elimu yetu, basi vikikutana na wanafunzi wa masters ni shida kina hakikisha akigraduate hana hamu yakuendelea kukaa chuoni. Uwekwe utaratibu mtu akistaafu akalime sio kubaki chuoni kurandaranda.
Havard wao wanafanyaje? Kwanini tusiende kujifunza huko, mbona wao hawana vibabuAliye kwambia kwamba kusoma Chuo kikuu ni lelemama ni nani? Wewe unataka upewe shahada on a silver platter bila ya kuenya - kama akili zako zinakutuma hivyo basi suruba ya Chuo Kikuu haikufahi tafuta shughuri nyingine mbadala - uvivu wako unakufanya uanze kuwasema vibaya walimu wako eti ni vibabu, akili gani hizi?
Reading between the lines unaonekana wazi wazi unakuwa driven na rabid hatred ya lika hili, may I know why?
Comments zenyewe ni too childish - labda nikuhoji swali dogo - wewe unatakaje? Watimuliwe wote ili wewe upate ajira au? Any idea how long it takes for a lecturer 2 become a Professor, sasa kama Vyuo Vikuu wanaona kuna ombwe kubwa la Walimu wenye uzoefu - wewe unataka Vyuo Vikuu vifanye nini? Labda tuanzie hapo.
Maadili yako ni zero kabisa. Soma acha uzembe.Havard wao wanafanyaje? Kwanini tusiende kujifunza huko, mbona wao hawana vibabu