Wahadhiri waliostaafu na kuajiriwa kwa mikataba ni kero vyuoni

Vijana kuweni wapole COVID-19 inawavizia hao maprofesa ile mbaya.
 
Umeandika kweli ma Prof wazee hawataki kubadilika Mimi nakumbuka Prof wangu wa somo la research alikuwa anatumia notes zake za research za mwaka 1970 tena kwenye daftari lake, wakati research ya sikuhizi ina mambo mengi Kuna software za kuchakata data ila yeye anatumia notes za kale zisizo relevant nowdays, ma Prof wengine hutumia videsa vyao miaka nenda rudi na ukitumia references nyingine tofauti na wanachoamini hata ukitumia books nyingine unafeli. Hivi vyuo vyetu viendane na masomo yanayoendana na dunia bana
 
Na wengine hawajui kutumia computer pia wako too manual kwa kweli, unakuta hawasahihishi kazi za watu. Watu Wana mshambulia tu mleta mada ila vyuo vyetu wabadilike licha ya wazee pia Kuna vijana nao wako too manual na hawako proactive sasa sijui ndo wamebukizana mazoea.
 
He bado wapo....Kuna mmoja enzi zetu,late 1990s alikuwa anatumia notes za Mwaka 1977...
Sio utani niliziona mwenyewe live.
Prof.Ka....Mu....[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Dah kumbe na wewe ulikutana na WA aina hyo mwingine alikuwa anafundisha science and technology ila anatumia notice za 1990 huko you can imagine
 
VIJANA HAWANA ADABU NA HAWAFUNDISHIKI.
 
Hapo kwenye kuendelea kufundishia notes za zamani ...... nakubaliana na wewe. Kuna wale wavivu ambao hawajishugulishi kabisa kujiupdate na new things .... they are stuck in the past!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…