A Arizona 1 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 605 Reaction score 1,279 Jan 24, 2025 #21 Etugrul Bey said: Ni hivi polisi wa Tanzania wapo vizur sana katika upelelezi trust me,ila sijui kuna nini nyuma ya wahusika wa utekaji hawakamatwi,ila siku mambo yakiwekwa sawa utaona shughuli yake Click to expand... Mkuu jeshi la polisi nchi hii liko vzr sana! Shida ni wanasiasa wanalitumia kisiasa hivyo linapoteza weledi...
Etugrul Bey said: Ni hivi polisi wa Tanzania wapo vizur sana katika upelelezi trust me,ila sijui kuna nini nyuma ya wahusika wa utekaji hawakamatwi,ila siku mambo yakiwekwa sawa utaona shughuli yake Click to expand... Mkuu jeshi la polisi nchi hii liko vzr sana! Shida ni wanasiasa wanalitumia kisiasa hivyo linapoteza weledi...
The Cock Senior Member Joined Nov 14, 2013 Posts 197 Reaction score 321 Jan 24, 2025 #22 Hongereni sana Jeshi letu la Polisi kwa kazi nzuri!