Mkuu jeshi la polisi nchi hii liko vzr sana! Shida ni wanasiasa wanalitumia kisiasa hivyo linapoteza weledi...Ni hivi polisi wa Tanzania wapo vizur sana katika upelelezi trust me,ila sijui kuna nini nyuma ya wahusika wa utekaji hawakamatwi,ila siku mambo yakiwekwa sawa utaona shughuli yake