Wahalifu waliowatumbukiza Wazazi kwenye shimo la choo kisha kuondoka na mtoto wakamatwa

Wahalifu waliowatumbukiza Wazazi kwenye shimo la choo kisha kuondoka na mtoto wakamatwa

Ni hivi polisi wa Tanzania wapo vizur sana katika upelelezi trust me,ila sijui kuna nini nyuma ya wahusika wa utekaji hawakamatwi,ila siku mambo yakiwekwa sawa utaona shughuli yake
Mkuu jeshi la polisi nchi hii liko vzr sana! Shida ni wanasiasa wanalitumia kisiasa hivyo linapoteza weledi...
 
Back
Top Bottom