Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Halafu wengi wakubwa hujificha kwenye kivuli cha eidha dini ama siasa, na wahalifu wengine konki hujificha kotekote.
Hufanya hivyo hivyo ili kuuhadaa umma usihangaike na kuuchunguza upande wao wa pili wa shilingi.
Pia kwa kufanya hivyo huwapa ukaribu wa kukutana na viongozi mbalimbali wa kitaifa, polisi nk na kufanya nao urafiki.
Kuna tukio moja limetokea Dar es Salaam, mwanasiasa wa chama tawala, ambaye pia ni kiongozi wa dini amefiwa na muumini wake inayesemekana alijinyonga.
Mchungaji huyu ana utajiri mkubwa sana kuliko investments zake.
Polisi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vimchunguze kwa kina, vitagundua mengi yaliyofichika nyuma ya pazia.