Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Mimi pia sishabikii jamaa yamkute mabaya ingawa naomba nikuulize mkuu, unapata wapi guts za kumtetea namna hii mtu usiyemjua wala kumfahamu undani wake.? simaanishi kwamba jamaa amenyooka au ana mitikas zake sizo hapana ila kwakwel mi siwezi kumsimamia namna hii mtu nisiyemfaham kwa 100%Acha upuuz na wivu masanja hajiuzishi na ishu hzi za kipuuzi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
nitolee mfano tu.
Binafsi mimi ni mtu straight sana kimaadili na hata kimwonekano wa nje.Very decent.Mke wangu anani trust na hata kwenye nyumba ya ibada wananiamini sana kiasi kwamba hata nimeanywa kuwa kiongozi katika nyumba ya ibada. Na kwa neema za Mungu tu hata pale ninapopewa jukumu la kusimamia huduma za kiroho matokeo huwa mazuri sana kwa wanafanyiwa huduma hizo (hapa niseme ni huruma za Mungu tu kwa watu wake huwa zinafanya kazi wala si kwakua nina vigezo hivyo).
LAKINI SASA..
Kimaadili yaani mimi ni Mungu tu ananijua brother. Nishagonga sana njee. sanaaa tu na ni kwa kulinda identity yangu huwa nachukua precautions za hali ya juu sana nisije nika compromise my cover. Yani mbususu huko nje nazitafuna haswaaaa ila tu kuna nina rules zangu to maintain my covet operations zisijulikane (siwezi kuzitaja) ila huu ni mwaka wa 10 am living this double faced life.
Kuna time time huwa nakaa chini namweleza Mungu anisaidie kutoka niache haya mambo maana najua yeye Mungu hakuna naloweza kumficha . Nitamficha wife na watu wengine but mimi siko kama wengine wanavyonijua niko.
KWAHIYO BASI,
binafsi huwa one of my theories ni kwamba, YOU SHOULD NOT TRUST ANYBODY just by considering how much you think you know them.It is not enough. Na huwa nafikiri kwamba pengine mimi nina afadhali usikute hawa jamaa around me ni level zingine.
Kikubwa huwa naamini kwamba maisha ya mtu anayajua mwenyewe. Huwa naamini kabisaa kwamba I DO NOT KNOW ENOUGH about people around me..My friends, my wife, my blood relattives, my parents..everybody.
yale unayoyajua kumuhusu mtu ni vile ameamua kujifunua hivyo ili umjue .there is probably another side (good or bad) bado hujamfaham.
MWISHO
nakumbuka 2005 nikiwa Kidato cha Pili, kuna soo liliwahi tokea shule likinihusisha mimi na rafik zangu.Kesi hii ilipofika nyumbani mzee wangu katika maongez mengi na mareefu akaniuliza jambo moja, Je una waamini kwa asilimia ngapi rafiki zako?
Nikamjibua, asililia 50 (lengo likiwa ni kwamba siwaamini sana), baba akacheka sana akanambia, hzo 50% hata mimi baba yako hupaswi kuniamizi nazo.Mimi kama baba yako ukizidi sana niamini kwa 15% tu.
BROTHER DUNIA INA MENGI SANAA